Nimechoka sana na maisha

Nimechoka sana na maisha

MTU badala ya kuomba mungu amfanyie wepesi ye anaomba kufa huyo anajielewa kweli ? Badala ya kutafuta suluhu ya maisha yake yeye anatafuta kufa ujui kama maisha ni kitu cha thamani ?. Umekurupka kunijibu halafu kuwa na adabu kijana kwa umri wangu uwezinifikia na huwez nilinganisha na watoto uwe makin tu na unayemjibu unaweza kuta unamjibu babako au babuyako iyo miaka 20s au 30s ulionayo isikufanye ujiuone mtu mzma wakat bado mtoto tu apo
wewe huna adabu wala nidhamu.
huyu angekuwa mamako au dadako ungemjibu namna hii?

nyie watoto sijui mmezaliwa mitaani?
 
Alafu mungu anamaajabu sana huenda alijuwa anakutayarisha kwa mazuri sasa atakupatia mambo mazuri sana pale unapoanza kuya enjoy anakupatia papo hapo na hilo unalomuomba akuchukue minaona kama unajiweka njia panda
 
Smile in the mirror. Do that every morning and you'll start to see a big difference in your life
 
MTU badala ya kuomba mungu amfanyie wepesi ye anaomba kufa huyo anajielewa kweli ? Badala ya kutafuta suluhu ya maisha yake yeye anatafuta kufa ujui kama maisha ni kitu cha thamani ?. Umekurupka kunijibu halafu kuwa na adabu kijana kwa umri wangu uwezinifikia na huwez nilinganisha na watoto uwe makin tu na unayemjibu unaweza kuta unamjibu babako au babuyako iyo miaka 20s au 30s ulionayo isikufanye ujiuone mtu mzma wakat bado mtoto tu apo
Nimekuita kijana kutokana na maneno yako.
mtu mzima hawezi kuandika maneno ya kebehi na machafu namna ile.

hio thamani ya maisha unaijua wewe uliye na hali nzuri kimaisha. huyu mwenzetu maisha yamemvuruga. na huenda yakakutokea na wewe.
Sasa mtu mzima angetoa nasaha njema na angemuombea Mungu sio kumwabia anywe sumu. huo ni utomvu wa nidhamu na sio utu.

sisi Watanzania hatuna sifa chafu za namna hii. km wewe ni mtu mzima jaribu kutumia kauli njema za kiutu uzima.
 
Hello Jf members this is my first topic to write here. I never thought that one day I would write anything here but until today where I see life becoming so cruel to me
.
.
Naenda kuumaliza mwaka vibaya sana yaan sina raha ya maisha hata kidogo sioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
.
.
My life is so disorganized. Am in a period where am facing karma that I created myself years back. Am employed but am not enjoying my salary, am in relationship but still feeling lonely.
.
.
I have only one prayer to God now. Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia. Yan hakuna kitu kizuri ninachokiona duniani. Madeni yameniandama, marafiki wamenitenga sasa bado nafanya nini duniani jamani? Sina msaada wowote duniani ni heri Mungu achukue roho yangu nife nijue moja. Siwezi kujiuua kwa sababu naamini hiyo ni dhambi ambayo itanipeleka kuzimu moja kwa moja.
.
.
Yan huwa najiuliza Mungu alinileta duniani ili nifanye nini
Pole sana japo kua ujaeleza chanzo cha matatizo nini Usikate tamaa ni vema ukafanyautafiti nakujua chanzo cha matizo ukishajua nilahisi kupambana nayo uwezi kupigana vita bila kujua adui alipo.
 
Mbinguni hawaingii watu wanaopitia Njia hiyo,Kwa hiyo hupati pumziko Hilo unalotumainia.
Maisha ni ulipo,Sasa upo katika hilo Kesho utakuwa mahali pengine.

*Hata Inzi akiaacha Upuuzi angekuwa anatengeneza Asali,Badilika haraka sana*
 
Hello Jf members this is my first topic to write here. I never thought that one day I would write anything here but until today where I see life becoming so cruel to me
.
.
Naenda kuumaliza mwaka vibaya sana yaan sina raha ya maisha hata kidogo sioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
.
.
My life is so disorganized. Am in a period where am facing karma that I created myself years back. Am employed but am not enjoying my salary, am in relationship but still feeling lonely.
.
.
I have only one prayer to God now. Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia. Yan hakuna kitu kizuri ninachokiona duniani. Madeni yameniandama, marafiki wamenitenga sasa bado nafanya nini duniani jamani? Sina msaada wowote duniani ni heri Mungu achukue roho yangu nife nijue moja. Siwezi kujiuua kwa sababu naamini hiyo ni dhambi ambayo itanipeleka kuzimu moja kwa moja.
.
.
Yan huwa najiuliza Mungu alinileta duniani ili nifanye nini
Kabla ya kuomba kufa na huko unako yaraji kwenda umejiandaaje ushajifikiria hilo
 
Unajua unachokitafuta ktk ulimweng huu au uwepo wako unafaida gani if your a man never give up unajua kuna watu wanaishi kwa amani ingali hawana uhakika wa maradhi yao.
 
Ni nyakati za mwisho, ni nyakati zenye kila ovu kufanyika! Tunakumbushwa kumrudia Mwenyezi Mungu,
 
Mleta mada, Mwenyezi Mungu ni mwema, mpole, Mwingi wa huruma. Huu mtihani unaopitia utapita tu. Muombe sana. Anasamehe dhambi zote, Muombe msamaha kisha anza kutenda wema.
Kutenda wema siyo lazima umtendee mtu, anza kwa mfano kuwarushia ndege mchele, kumjali paka wa hapo karibia na kwenu etc. Kwenye kusaidia mtu basi kutoa hata mia mbili ya sadaka kwa mwenye uhitaji ni jambo jema.

Kikubwa lazima ujue, Kabla ya kuja duniani mbegu iliyokutungisha mimba ilishindana na mamilioni ya mbegu nyingi tu na hiyo ya kwako ikashinda. Sasa kama ulishinda katika micro world kwenye ushindani mkali kwa nini ushindwe kwenye hii Macro world?. Pambana usikubali kumpa Ibilisi ushindi mwepesimwepesi juu ya nafsi yako!

Bravooooo!
 
Kufa hauta kufa ILA cha moto utakiona. Nenda kwenye madhabahu ukatubu karma ikutoke
kama huna la maana la kuandika kaa kimya.
unadhani kila mtu anafahamu hayo madhabahu?
na nani kakudanganya kuwa ukimkosea John au Mary utasamehewa kwenye hayo madhabahu?

acheni kuandika utumbo kwa mtu anaelilia msaada wa mawazo.
shwani wahedi
 
Chanzo cha Haya yote ni ukosefu was pesa tu hamna kiingine
Vijana wenzangu pesa ni sabuni ya roho kweli asikudanganye mtu
 
daaah, ati mtoto wa kike analalama vyuma vimekaza akati ana vitega uchumi viwili ? aisee
 
Dah pole ndugu unajua kila kitu na wakati wake usikate tamaa namna hiyo jitahidi kumlilia Mungu zaidi sana na pia usiangalie maneno ya watu Angalia malengo yako haijalishi kwamba una hela au huna madeni yatapita tu mm mwenyewe madeni kibao nadaiwa lakini najua ipo siku nitalipa yooooteee kwa Uwezo wa Mwenyezi MUNGU. Nakutakia maungamo Mema na usimwaibishe MUNGU wako mbele ya majaribu ya shetani.

Sent from my C6902 using JamiiForums mobile app
 
Sikia nikwambie kitu kizuri rafiki.....! Maisha tunayoishi wanadamu sisi wenyewe ndio tunaamua yaweje, either yawe yenye furaha,upendo,amani, afya na raha mustarehe. Au yawe yenye huzuni,kutojiamini,mfadhaiko,upweke na maumivu.

Sasa wewe kwa kutokujua umejikuta umechagua upande wa mabaya, yawezekana unalipa mabaya uliyoyafanya nyuma sasa law of karma inakuadhibu.

Lakini habari njema ni kwamba unaweza kuirudisha furaha, amani, upendo, kujiamini kuliko potea. Unafanyaje sasa? Twende taratibu hahahaha....

Ni hivi ubongo wa binadamu umegawanyika katika sehemu kuu 2....! Conscious mind na subconscious mind.

Sasa huyu bwana conscious mind yeye ni kama captain wa meli yeye ndio anaona kilicho mbele na ndio anampa taarifa na muongozo injinia aliyoko ndani, ambaye ni subconscious mind...! Sasa endapo captain atamwambia injinia kata kulia hata kama Kuna barafu yeye atafuata hivyo hivyo....! Kila unachokiona, kila unachofikiri, kila unachoamini, kila unachotamka kinachukulia na conscious mind kinapelekwa kwa subconscious mind, ambaye ndio analeta matokeo sasa

Subconscious mind yako ina uwezo mkubwa sana, ina uwezo wa kukupatia chochote kile unachokita endapo utaiomba kwa unyenyekevu na kuiamini...! Kinachokuponza wewe umekua mtu wa kujiwazia mabaya tu, hivyo unachowaza ndio hicho subconscious inakuletea.....!

Sasa kuanzia leo anza kufanya yafuatayo na utakua mtu kama wengine utakua ni mwenye furaha kuliko.....! Andika kwenye karatasi yafuatayo
1.subconsious mind yangu inajua kila kitu, ina uwezo usio na mwisho wala kifani imenifanya kuwa ni mwenye furaha,
2.mimi ni mwenye amani ya moyo.
3.mimi najiamini sana.
4.mimi ni mwenye upendo na ninapendwa na kila mtu.
5.mimi na furahia sana kuishi katika hii dunia iliyo nzuri na baraka tele. Tamka maneno hayo kila siku kabla ya kulala na baada tu ya kuamka asubuhi, kwa unyenyekevu na uiaminishe subconscious mind yako kuwa hayo uyasemayo ni kweli. Nakuhakikishia baada ya siku 21-40 ukitamka maneno hayo kwa utaratibu niliokwambia utakua mtu mwingine kabisa...!

Na kamwe usijiwazie mabaya hata kidogo maana yatakutokea kweli, always think positive....! Ni ujinga kuamini kitu kinachokudhuru.....

Amini amini amini nakwambia nawe utaponyeka.... hakuna aliyezaliwa aje kuteseka, wote tumezaliwa Kuja kufurahia maisha. Ila Kuna watu wanashindwa kufahamu uwezo mkubwa walionao ndani yao, mwisho wake wanaishia kupata shida na taabu kama mtoa thread. Subconscious mind yako ina majibu yoote yanayokusumbua ila tu wengi hawajui jinsi ya kutumia uwezo huo, wenzetu wazungu siri hizi walizijua mapema ndio maana shida shida hizi wao haziwapati.....!

Nikutakie kila la kheri
Umenifurahisha sana rafiki, kana kwamba ulikuwa kwenye akili yangu. Hakika nisingepitia michango ya watu kwenye uzi huu na kukuta maoni yako huenda maandiko yetu yangefanana kwa 90%
Barikiwa kwa ushauri mzuri rafiki yangu wa MMU

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana, maana hata mkiwa hampigwi miti vizuri mnakuwa na stress, kuna kamdada nakaonea huruma sana, kalikuwa kazuri sana, yaani kembamba afu karefu, lakini alikutana na dume bwege, akabikiriwa na mimba juu. Afu hilo dume likawa halina mpango naye lenyewe linalea mtoto tu, na lina kazi yake ya maana, ila halimtaki mwanamke.
Akampata mwanaume mwingine Captain wa jeshi kamtomba akamtia na mimba tena, akafanya abortion. Sasa kila mwanaume anayekutana naye anampa mimba, mwanamke hana raha na utamu wa ngono. Akawa amechanganyikiwa kisaikolojia, nikamtongoza nami nikamtomba kama mara mbili hivi, mimi huwa simkojolei mwanamke huwa nakojoa nje ili nisimpe mimba. Lakini yule mtoto wa kike kila napotaka kumtomba analazimisha nivae condom, na mimi condom sizitaki kwa sababu sikojoi nikivaa, mara ya mwisho kumtomba nilimkaza mpaka akasema amechoka, mimi sikukojoa na yeye najua haja enjoy kwa sababu ya li condom, nikamuonea huruma nikamuacha sijakojoa wala nini, lengo langu nimpe raha naye ajisikie mwanamke anayependwa.
Yaaan we jamaa unavyoyatamka hayo maneno sasa
 
Yaliyotokoea mwanza hatutaki kusikia Rock city mall hatutaki kusikia, vijana mnajiua sana
 
Sikia nikwambie kitu kizuri rafiki.....! Maisha tunayoishi wanadamu sisi wenyewe ndio tunaamua yaweje, either yawe yenye furaha,upendo,amani, afya na raha mustarehe. Au yawe yenye huzuni,kutojiamini,mfadhaiko,upweke na maumivu.

Sasa wewe kwa kutokujua umejikuta umechagua upande wa mabaya, yawezekana unalipa mabaya uliyoyafanya nyuma sasa law of karma inakuadhibu.

Lakini habari njema ni kwamba unaweza kuirudisha furaha, amani, upendo, kujiamini kuliko potea. Unafanyaje sasa? Twende taratibu hahahaha....

Ni hivi ubongo wa binadamu umegawanyika katika sehemu kuu 2....! Conscious mind na subconscious mind.

Sasa huyu bwana conscious mind yeye ni kama captain wa meli yeye ndio anaona kilicho mbele na ndio anampa taarifa na muongozo injinia aliyoko ndani, ambaye ni subconscious mind...! Sasa endapo captain atamwambia injinia kata kulia hata kama Kuna barafu yeye atafuata hivyo hivyo....! Kila unachokiona, kila unachofikiri, kila unachoamini, kila unachotamka kinachukulia na conscious mind kinapelekwa kwa subconscious mind, ambaye ndio analeta matokeo sasa

Subconscious mind yako ina uwezo mkubwa sana, ina uwezo wa kukupatia chochote kile unachokita endapo utaiomba kwa unyenyekevu na kuiamini...! Kinachokuponza wewe umekua mtu wa kujiwazia mabaya tu, hivyo unachowaza ndio hicho subconscious inakuletea.....!

Sasa kuanzia leo anza kufanya yafuatayo na utakua mtu kama wengine utakua ni mwenye furaha kuliko.....! Andika kwenye karatasi yafuatayo
1.subconsious mind yangu inajua kila kitu, ina uwezo usio na mwisho wala kifani imenifanya kuwa ni mwenye furaha,
2.mimi ni mwenye amani ya moyo.
3.mimi najiamini sana.
4.mimi ni mwenye upendo na ninapendwa na kila mtu.
5.mimi na furahia sana kuishi katika hii dunia iliyo nzuri na baraka tele. Tamka maneno hayo kila siku kabla ya kulala na baada tu ya kuamka asubuhi, kwa unyenyekevu na uiaminishe subconscious mind yako kuwa hayo uyasemayo ni kweli. Nakuhakikishia baada ya siku 21-40 ukitamka maneno hayo kwa utaratibu niliokwambia utakua mtu mwingine kabisa...!

Na kamwe usijiwazie mabaya hata kidogo maana yatakutokea kweli, always think positive....! Ni ujinga kuamini kitu kinachokudhuru.....

Amini amini amini nakwambia nawe utaponyeka.... hakuna aliyezaliwa aje kuteseka, wote tumezaliwa Kuja kufurahia maisha. Ila Kuna watu wanashindwa kufahamu uwezo mkubwa walionao ndani yao, mwisho wake wanaishia kupata shida na taabu kama mtoa thread. Subconscious mind yako ina majibu yoote yanayokusumbua ila tu wengi hawajui jinsi ya kutumia uwezo huo, wenzetu wazungu siri hizi walizijua mapema ndio maana shida shida hizi wao haziwapati.....!

Nikutakie kila la kheri
Blaza una ma file mengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom