Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Wadau eehh bila shaka mko poa,
Kama una ushauri naombeni tu mnishauri tu kijana mwenzenu,toka mwaka jana nimekuwa nikijichanga changa nipate mkwanja kidogo niende mamtoni (marekani),siendi kufanya mishe yoyote nataka niende tu kuondoa tongotongo si mnajua kibongo bongo mtu unaweza kuzaliwa hadi unadanja hujawahi kuona laivu nchi zilizoendelea??
Sasa nina mil 7 tu!!mambo mengine nitajua huko huko mbele ya safari,Kama itashindikana kwenda kihalali hata kimagumashi tu fresh!..kuna lijamaa pale uhamiaji limeniambia nipitie Jamaica eti wabongo wanaingia bila visa halafu baadae nifanye harakati za kuingia states!..wadau nipeni data basi Nina mzuka kwa sababu mwezi January kuna jamaa yangu kiutani utani kaenda Spain,mwingine kaenda Brazil..
Sasa wakuu mil 7 si inaweza kunifikisha sehemu,au niongeze ongeze!!mi nshachoka kuishi afrika bwana aaahh