Recent content by G-ten

  1. G-ten

    JamiiForums Tanzania Chakula kipi uliwahi kutana nacho ugenini ukajutia ugeni wako?

    Chakula kikuu cha wanafunzi wanaosoma Shule za bweni
  2. G-ten

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha Huduma kwa Wateja TANESCO kinafanya kazi chini ya kiwango

    Pamoja na changamoto za umeme kukatikakatika, kitengo cha huduma kwa wateja kinajitahidi Kutoa huduma nzuri sababu Mimi nilihudumiwa vizuri na tatizo lilitatuliwa.
  3. G-ten

    JamiiForums Tanzania Naogopa kupima UKIMWI kwa sababu ya msururu wa niliowachakata

    Jiamini wew ni mwanaume mbona hao wanawake wakati unalala nao ulikuwa hauna hofu lakini kupima HIV unakuwa na hofu kwanini? Nakushauri kapime.
  4. G-ten

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

    Tayari washaangukia CAF Confederation league 😂😂
  5. G-ten

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Unafiki na kusifia kila jambo ili kupata vyeo kutaliua Taifa

    Unafiki haupo tu kwa wanasiasa ata viongozi wa dini ndio wamekuwa wanafiki wakubwa.
  6. G-ten

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanza rasmi 2023

    Miradi inayojengwa na serikali mingi bado haijakamilika mfano SGR, Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere, Ujenzi wa Meli mpya ziwa Victoria, Daraja la Kigongo-Busisi. Serikali ikamilishe kwanza hii miradi ndio ianze ujenzi wa mradi Bandari ya Bagamoyo sababu unatumia pesa nyingi kukamilika kwake.
  7. G-ten

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Sindano ya Anti D kwa wanawake wenye kundi negative la damu

    mwanamke ambaye kundi lake la damu ni O+ lakini mwanaume kundi lake ni O-. hii haina athari yoyote kwa mtoto mchanga tumboni?
  8. G-ten

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu, madhara na ushauri kuhusu umeme wa radi

    1.Kwanini radi ni zigzag? 2.kwanini radi inapotokea hailekei juu bali inaelekea chini? Naomba msaada wa majibu wa hayo maswali. Asante
  9. G-ten

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Jacob John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF)

    Hongera sana Tanzania iko salama.
  10. G-ten

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Fedha ambazo zingegharamia Sherehe za miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, zigawanywe sawa

    Mgawanyo wa fedha ya sherehe ya muungano usiwe nusu kwa nusu sababu Ukubwa wa eneo la Tanganyika na zanzibar si sawa
  11. G-ten

    JamiiForums Tanzania Differences between a Lawyer and an Advocate (Tanzanian perspective)

    Tofauti ya hakimu na jaji ni ipi?
  12. G-ten

    JamiiForums Tanzania Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

    Raha ya milele umpe eeh bwana na mwanga wa milele umuangazie Apumzike kwa amani Na wote tuseme amina.🙏🙏😷
  13. G-ten

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Waziri wa fedha wa Jimbo la Hesse amejiua baada ya kuhofu juu ya anguko la uchumi kutokana na Coronavirus

    Nchi zilizo kusini mwa jangwa la sahara mfano Tanzania bajeti zake zitaathirika sana sababu zinategemea wahisani au mabeberu ambao wameathirika pakubwa na corona😷😷
  14. G-ten

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameendelea kuwapiga watu chenga ya mwili

    Elimu kwa jamii kuhusu janga la corona ni muhimu zaidi kuliko kufunga mipaka ya nchi. Kuna nchi ambazo zilifunga mipaka yake lakini transmission ya covid-19 ndo imekuwa kubwa zaidi mfano USA #Mungu ibariki Tanzania🙏🙏
  15. G-ten

    JamiiForums Tanzania Mtaalam: Watanzania mnadanganywa Stiglers Gorge haiwezekani kwani Kina cha Maji Mto Rufiji kinapungua mno

    Ni vizuri tukajua maji ya mto rufiji yamepungua kwa kiwango gani, kina cha zamani na sasa kikoje. Mradi Stiglers Gorge una faida kubwa sana kwa maendeleo ya nchi yetu. Tuwe na uzalendo na miradi inayoanzishwa na serikali yetu.
Back
Top Bottom