Mtaalam: Watanzania mnadanganywa Stiglers Gorge haiwezekani kwani Kina cha Maji Mto Rufiji kinapungua mno

Huwez kuchangia sehem nyet kama hizo bila kuwa na ripot stahk

Utakuw ni unafki kutoa hoja bila kuwa upembuz yakinifu

Na Ni kwasababu yote hatuna sera ya taifa ndio maana miaka nenda rud tuko pale pale

Kila rais aingiaye madarakani ana sera akiondoka anaeingia anasera yake ndio Trump anatutukana sana

Nadhan elimu tusomazo hazina manufaaa kwetu shenz kbisa

Sikuzote birian lazima limpate fund na fund akipeleka umbea bas mpika birian lazima ajione yuko juu ya fundi alietaka pika birian
 
Bila unafiki bila uwongo bila njaa bila chuki mh ni wazo zuri kuwa na chanzo kikubwa cha uzalishaji wa umeme wa uhakika ila ujapata wataalamu wazuri na wazalendo kuwa huo mto Rufiji haitachukua raundi sana kuporomosha maji ya kutosha kuendesha mitambo ya kufua umeme wa megawati 2100 yangu ni hayo rais wa viwanda
 
" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.

Tujadili.
Washauri waliookotwa majalalani wanesema inawezekana. Sisi ni akina kumwambia Mfalme yupo uchi?
 
" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.

Tujadili.
Hivi nawewe ni mtaalamu?
Nmefuatilia thread zako nazidi kushangaa huo utaalamu ni Wa nini? Au ni utaalamu Wa kulala Kwa Mme wadada yako?
 
" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.

Tujadili.
Ni vizuri tukajua maji ya mto rufiji yamepungua kwa kiwango gani, kina cha zamani na sasa kikoje. Mradi Stiglers Gorge una faida kubwa sana kwa maendeleo ya nchi yetu. Tuwe na uzalendo na miradi inayoanzishwa na serikali yetu.
 
Mtaalam mwenyewe hata jina humtaji na huo utafiti kaufanya lini au unazungumzia hisia za mtu. Unadhani walioenda kufanya utafiti na kujiridhisha hawana akili. Nchi hii tuna kazi kila mtu ni mtaalam wa kila kitu.
 
" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.

Tujadili.
Kafie mbali mpinga maendeleo. Hata kama maji yanapungua si tutachukua hatua kuhakikisha hayapungui?. Mjinga tu unafikiri hali ya mazingira haijashughulikiwa. Usifikiri wewe ndio una akili au vinginevyo unatumiwa tu.
 
" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.

Tujadili.

Tujadili nini wakati huo mradi ni moja ya ----CCM political mile stones, nani atakusikia ukijadili??!!.
 
" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.
Tujadili.
Hali halisi ya mto Rufiji inaanzia mkoa wa Mbeya kupitia Iringa, Dodoma, Morogoro na Pwani. Mto Ruaha si ule wa miaka ya sitini, daraja la Mkapa lilijengwa kwa kiwango cha upana wa mto Rufiji miaka ya sitini ambapo sasa kiko chini ya nusu. Ujenzi wa bwawa na kukamilika si mwanzo wa matumizi yake kwani bwawa lina muda wa kulijaza mpaka lianze kutumika, je, bwswa hilo litajazwa kwa muda gani, wiki moja, mwezi mmoja hapana labda muujiza utokee.
Hata hivyo tusubiri tuone utaalamu utakaotumika, hapa ni patapotea.
 
Ni vizuri tukajua maji ya mto rufiji yamepungua kwa kiwango gani, kina cha zamani na sasa kikoje. Mradi Stiglers Gorge una faida kubwa sana kwa maendeleo ya nchi yetu. Tuwe na uzalendo na miradi inayoanzishwa na serikali yetu.
Kama ni uzalendo basi wananchi wote tubebe barafu toka majumbani mwetu na tukazimwage mlima Kilimanjaro kuuokoa.
Dunia haiko hivyo.
 
baada ya mradi kuanza tayari kina kimeanza kupungua, nyie wataalam feki mlikuwa wapi siku zote kusema haya kwani hamjui kama huo mto unatumiwa na binadamu wengine kuwaingizia kipato?? kwanini msingetoa tahadhari mapema ili kuwa alert watumiaji wengine ukiachana na huo mradi?
 
Kihansi, Mtera, Kidatu na S. Gorge miradi yote iko kwenye MTO mmoja na Ruaha tayari umekauka wanyama wanakufa na Mtera imejaa tope. Mto wote ukikauka nchi yote haina umeme. Akili ya PhD ya kuweka mayai yote kwenye kapu moja!
 
Mkuu Sospiter Muhongo alikuwa sawa ila mikataba ya siri baina serikali yetu na mabebru hakuijua akiamini itakuwa na uiano sawa hivyo gas kupatikana kwa wingi kiasi cha kutumika kuzalisha umeme kumbe mabeberu wamebeba yote. Nafikiri uoiisikia kauli ya Rais kuwa gas sio yetu wamechukua yote.
Huu mradi ametolea ushauri kama mtaalamu sawa, atwambie umeme wa gas alishaulije kipindi kile unashupaliwa na sospeter mhongo kuwa ni mwarobaini wa umeme nchini mpaka Leo haieleweki
 
Haya ya stiglers baada ya magu kuondoka madarakani yataja zuka ya bandari ya bagamoyo, kila rais huwa anavutia yake akiondoka ajae anaweka wazi mabaya ya mradi husika.
Tayari Magufuli kishakufa
 
Mtaalamu angetuzuja japo kidogo huu mradi unapunguza vipi kina cha maji ya mto ruvu na vyanzo vyake?
 
" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.

Tujadili.
Hii post kwa sasa unaionaje?
 
Back
Top Bottom