Ndugu wana Jamii forum. Kwa masikitiko makubwa napenda kuwaeleza kwa uchache tu ufisaadi mwingine uliojitokeza hivi karibuni baada ya muheshimiwa DR Sheni kuchaguliwa kuwa rais wa Zanzibar na kufanya ziara rasmi ya kiserkali nchini Ungereza. Muheshimiwa huyo kwa mujibu wa nusa nusa yangu...
Ndugu yangu Bw Sanga, viongozi wetu ni wanafiki ajabu sijapata kuona katika dunia hii. kwa upande wa tanganyika mtu wa kulaumiwa(laana tu llah)ni mchonga meno J.K, Nyerere.
Huyo alikuwa na lengo la kuimeza Znzibar kiujanja ujanja lakini wazanzibar walimshitukiya mapema. Sasa wakati umefika wa...
Ukimuondo baba na muasisi wa Taifa hili la Tanzazania ambaye amekufa akiwa masikini viongozi wengine waliomfuata hawako hivyo. Ni matajiri wa kupindukia na haieleweki ni jinsi gani wamekuwa matajiri kiasi hicho na ilihali hawakuwa ni wafanyi biashara katika muda wao wote wa utumishi. Mzee...
Nimeisoma vizuri na kwa makini kabisa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na nimeielewa vyema ipasavyo. Hakika hii si katiba inayowafaa wananchi wa Tanzania katika karne hii ya 21. Ina mambo mengi ya upotofu na udanganyifu wa hali ya juu na kwa hivyo inapaswa kurekebishwa kama si kutungwa...
wana JF maoni yangu kwa siku ya leo kuhusu maada hii WATOTO WA MAFISADI ni kwamba, imepitwa na wakati na huu si wakati muafaka kwa watu wazima na akili zao timamu kuaza kuzungumzia unafiki kama huu. Mara utasikia mwana JF huu asima hivi na yule naye asema vile ilmradi kila mtu aonekane anjua...
Lowasa anachotaka kufanya ni kuwhadaa wananchi na haswa vijana waliozaliwa miaka ya 1990 ambao hawamjua vilivyo. Yeye mwenyewe ni mwizi wa mali ya umma. Yeye ni miongoni mwa watu wachache waliojilimbikizia mali hapa Bongo. kwa sabau hiyo, ndiyo maana hata hayati baba wa Taifa Mwl JK,Nyerere...
Ndugu wana JF, ufisadi wa malizi za umma umekisiri hapa nchini ketu. Wabunge na Mawaziri wamekuwa wakijifanyia mambo kiholela na kuwaibia wa tanzania mchana kweupe. Wizi kama ule wa RICHMUD, EPA na LOLIONDO ni mifano hai ya matendo ya kifisadi iliyofanywa na viongozi wetu.Hii inatokana na wao...
Jamani wana JF, Mimi si mtetei Kikwete, lakini ukweli ni bora ukasemwa.Ni kweli kabisa nchi yetu inamatatizo mengi ya kiuchumi yanayosababishwa na udhaifu wa viongozi wetu wa juu.Kuanzia Rais hadi wakuu wa wilaya. Lakikni msikimbilie kumshambulia Kikwete peke yake mkasahau kuwa hata hao...
Umma una nguvu, naukiamua kutenda jambo lolote lilie basi unaweza. si nguvu za kifaru wala kima zinauwezo wa kuuzuwia umma kufanya upendavyo. Ule wenu viongozi wa asiasa nchini Bongo mnaopenda kung'ang'ania madaraka na kufanya ufisaadi wa kuwaibia wnanchi, amini nawaambieni ipo siku wa Tanzania...
Ndugu wana JF, mimi sipo hapo nyumbani kwa karibu miaka kumi sasa, na matukio mengi yamefanyika bila ya mimi mwenyewe kuyashuhudia. Hatahivyo, hivi karibuni nimekuwa nafuatilia malumbano ya Masheikh wa Bakwata chini ya uongozi wa sheikh Ali Baswalehe na Viongozi wa Kanisa kule mkoani Arusha...
Sheikh Basalehe ni kiongozi wa kidini mwenye hadhi kamili ya uongozi katika jamii ya waislam sawa na Pengo wa kanisa katoliki au mtikila wa kanisa li silo rasmi. kwahivyo basi anahaki ya kutoa maoni yake kama walivyoviongozi wengine wa kidini hapa nchini.
Kuhusu madai ya kuwa waislaam ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.