Serkali ya ccm ijifunze kutokana na matukiyo ya kisiasa nchin misri

Jun 16, 2009
64
0
Umma una nguvu, naukiamua kutenda jambo lolote lilie basi unaweza. si nguvu za kifaru wala kima zinauwezo wa kuuzuwia umma kufanya upendavyo. Ule wenu viongozi wa asiasa nchini Bongo mnaopenda kung'ang'ania madaraka na kufanya ufisaadi wa kuwaibia wnanchi, amini nawaambieni ipo siku wa Tanzania watasema enough is enough, na wataandamana mitaania kama ilivyotokea nchin misri na Tunisia hivi karibuni DHULUMA INA MWISHO!!!!!!
 
Back
Top Bottom