Watoto wa mafisadi watoa tamko la kukilaani chama cha ukombozi wa tanzania chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoto wa mafisadi watoa tamko la kukilaani chama cha ukombozi wa tanzania chadema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TUNTEMEKE, Mar 21, 2011.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kuhusu maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Malisa alisema UVCCM imebaini kuwa ni hila na njama zilizopangwa dhidi ya serikali yao.
  “Baraza Kuu linawataka vijana wote wa CCM na Watanzania kwa ujumla kukiogopa Chadema, baraza limewataka wanachama wote wa UVCCM kuwa tayari katika kukabiliana na njama hizo,” alisema.
  Alisema wao hawabanwi kusubiri hatua za serikali wana wajibu kama vijana wa CCM na wapenda amani.
  “Njia gani tutafanya na tutatumia mbinu gani, ni wakati huo tutakapoona unafaa tutafanya,” alisema.
  Alipotakiwa kufafanua kuhusiana na mikakati waliyoiweka kukabiliana na chama hicho, Shigela alisema mikakati siku zote katika vita haitangazwi.
  “Sisi ni chama cha muda mrefu, kina uzoefu ni chama kinachopenda amani na mshikamano. Tutahakikisha hatuvunji sheria," alisema na kuongeza:
  “Sisi ni chama kinachopenda amani, umoja, mshikamano tutawashughulikia kuhakikisha kuwa tutakuwa na amani, mshikamano umoja kwa hiyo namna ya kushughulika na Chadema na fujo wanayoifanya ni kwa namna tutakavyohakikisha kuwa tunakuwa na amani.”
  CHANZO: NIPASHE


  LABDA WAWAKUSANYE WEZI WOTE WAKIANZA NA RA , RIDHIWANI KIKWETE PAMOJA NA MAFISADI WENGINE , MAANA WANADHANI WANAVYOIBA SASA HIVI NA DHAHABU BUKOMBE, RIDHIWANI ANAENDA KUCHUKUA DHAHABU MARA MOJA KWA WIKI KWENYE MGODI BUBU WA TANCAN KULE KIGOSI
   
 2. K

  Kikambala Senior Member

  #2
  Mar 21, 2011
  Joined: Jun 28, 2008
  Messages: 163
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Pambafu kabisa kashindwa baba Riz wataweza hao sisimizi tutaona bana
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Mnaogopa?
   
 4. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  uvccm ni genge la mafisadi koko, wachumia tumbo, waliolewa jasho la walalahoi wa nchi hii. Nchi itakapotoka mikononi mwao, watafute mahali watakapokwenda! Wananchi hatutakuwa na simile. Wapwambafu sana.
   
 5. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Narudia, nyoka akiingia kwenye chungu chako cha kioo ukashindwa kumtoa si unakivunja tu? Na kama humo ndani amezaa vijoka vidogo vidogo na vyenyewe si unavichanganya humo humo?
   
 6. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Yangu macho, njon basi mnitoe CHADEMA!, nyie si mna nguvu eeee!!! Imekula kwenu mazima! haoooooooooooooooooooo!!!!
  Hivi hamuoni Aibu yani hata kusimama hadharani na kusimama kuipinga nguvu ya umma, ama kweli wa kufa ni wa kufa tuuu hata anyweshwe dawa kivip bado atakufa tuu!! oneni Aibu basi!
   
 7. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160

  Hapo Malisa umedanganya. Nyie mnapenda ulafi, uchoyo wizi, ubadhirifu huku mkivika hizo nyimbo ambazo watanzania tumeshaanza kuzichoka. Amani gani nitakuwa nayo wakati kila siku nalala giza? Amani gani nitakuwa nayo kama kila nikienda kununua sukari bei imepanda? Hao vijana unaosema jaribu kuitisha sensa uone mmebaki wangapi kwenye kadhia yenu.
  Nguvu ya umma ndo inazidi kuingia hadi kwenye mifupa na inatoa kansa mliopandikiza kuwa tukichagua upinzani vita. Hatulali tena, na nchi zote zenye vuguvugu ambazo raia wake wanahoji zinamaendeleo.
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Kwani mnaongelea vijana gani? ni hawa waliopewa sh 50,000 kila mmoja na yule mbunge wao wa viti vya dezo Magige ili watumie kwa lunch? au mnaongelea vijana gani? kama ni wale mimi siwezi kumpoteza muda wangu kuwajadili wale mbwa.
   
 9. fikramakini

  fikramakini JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika maandamano yaliyofanyika Arusha na Kanda ya ziwa, ukiondoa ule umati woote ulioshiriki anabaki nani? Sasa hao UVCCM wakafanye na wao maandamano hata wagawe fedha tuone kina nani wataenda. Sasa wanajifanya wanatetea maslahi ya nani? Labda mafisadi wachache.

  Hawa watoto wasipo onywa mapema na wakubwa zao, wataiangamiza CCM.
   
 10. F

  Fungu la kukosa Member

  #10
  Mar 21, 2011
  Joined: Jun 16, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wana JF maoni yangu kwa siku ya leo kuhusu maada hii WATOTO WA MAFISADI ni kwamba, imepitwa na wakati na huu si wakati muafaka kwa watu wazima na akili zao timamu kuaza kuzungumzia unafiki kama huu. Mara utasikia mwana JF huu asima hivi na yule naye asema vile ilmradi kila mtu aonekane anjua kusema hata kama kinachosemwa hakielimishi jambo lolote lile. Kuna mabomengi ya kuwaelimisha wanajamii mathalani kujiandaa kuiondoa serkali ya CCM madarakani kwa kuiga mifano ya wenzetu wa Libya, Tunisa na nchi nyingine za kiarabu. Hao ndiyo wanaume haswa walioamua kwa dhati kuwaondoa madikteta madrakani na si sisi watanzania ambao kila kukicha twazid kuwa mabingwa wa kusema sanaaaaa!!!!!!!!!!!!! Lakini vitendo vichache saaaaanaaaaaa!!!!!!!!!!! Sijui hali ya unafiki itutaiacha lini jamani. Hao chadema wenyewe wanaopigiwa debe pamoja na wana siasa kutoka vyama vengine wamewaaanda vipi wana chama wao kuiga mifano hai inayotokea hivi sasa katika nchi za kiarabu? Hili ndio swali tata linalohitajia majibu muafaka na matendo zaidi kwa wakati huu tulionao na si kupiga mayowe kuisema CCM. Hivi tunatarajia CCM itakuwa tayari kuachia madaraka kirahisi rahisi namna hivo ndugu zangu?WATAFANYA KILA NJIA KU WAFRASTRATE WANANCHI ILI WASIDAI HAKI ZAO. SASA NI JUKUMU LETU WAPENDA DEMOCRASIA KUAMUA KUSUKA AU KUNYOWA OTHERWISE NOTHING AT ALL COULKD BE DONE TO OVERCOME THE EXISTING POLITICAL PROBLEM WE HAVE IN OUR COUNTRY BONGO. MPO HAPO WAN JF!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 11. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Hivi yale maandamano ya UVCCM Dar es Salaam yamefia wapi?
   
 12. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  watapita wapi? Thubutuuu!!
   
 13. p

  plawala JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaganga njaa tu,wameshafanya hivo mara nyingi,waende vyuoni na kupeleka upupu wao kama watasikilizwa
  Ningeshauri hizi siasa za kinafiki ziwekewe rekodi,eg wanaoongea kwa kukejeli wananchi,hawa wakina malisa na wengine tuwanote kbs ili siku akibadilisha hoja tumkumbushe haya anayosimamis sasa hivi,tunaweza kuunda chombo kinachomulika mienendo ya wanasiasa
   
 14. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,927
  Trophy Points: 280
  yaani wajemeni, nafanya kazi kwenye ofisi nyeti tu ya selikali, lakini hadi leo sina kadi ya ccm, kila wenzangu wakinishauri nikaichukue, naona moyo unauma, yaani kama msumari, siwezi kuwa na kazi ya ccm, hata shati la kijani wala tshirt wala kofia wala nyumba yangu siwezi kupata rangi ya kijani...naichukia ccm jamani...........
   
 15. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  These are the kicking of the dying horse...!
   
 16. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Nguruwe haramu, mchuzi wake mtamu
   
 17. C

  Calist Senior Member

  #17
  Mar 21, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa vifaranga hawajui wasemalo! Maumivu tunayoyapata hata wao wanayapata ni unafiki tu.
   
Loading...