Recent content by Fungo Sr

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kuwa mkweli, hapa utafanyaje?

    Yani huyo jamaa usijaribu kumsogelea maana anaweza kukufanya historia kwa waioshuhudua tukio, ila dawa yake unamkalia mbali kama m 50 hivi, alafu unapomoromosha mawe
  2. F

    JamiiForums Tanzania Dhana ya future Buddha(milefo) katika Buddhism

    Kama nafahamu vizuri, kiongozi wa hii Dini kwa Afrika (Chief Monk for the African Continent) anaishi Tanzania, anaitwa Rev. ILUKPITIYE PANNASEKARA
  3. F

    JamiiForums Tanzania Eti hii gauni ni rangi gani?

    Yani huyo beki 3 kama ndio kaletwa home unakuwa huna haraka nae, unaanza kwa kujifanya unamjali na kumzoesha vijizawadi, baadae unamzoesha story za usiku na kumleta movie za kibongo anazozipenda, hatua ya mwisho unajikuta siku moja mmeamka wote asubuhi chumbani kwake
  4. F

    JamiiForums Tanzania Subira

    Nyimbo nzuri mkuu, ila nna mashaka walioitambua ni wachache sana, maana wenyewe wameshazoea miziki yao ya sikuhizi yenye adhabu katikaki ya burudani utasikia mikono juu, mikono juu, piga keleeeee
  5. F

    JamiiForums Tanzania Confused!

    Ungekuwa wa Dini yangu ningekushauri uoe yeyote, akisumbua unapiga chini, unaoa mwingine akizingua unafukuza mbali, unaoa mwingine akuleta mapepe unapita hivi, yaani usiwaruhusu wakuumize kichwa, wapo wengi sana hawa, usiache mmoja akusumbue akili yako
  6. F

    JamiiForums Tanzania Wanaume kwanini kila utundu wa chumbani hamtaki?

    Aisee, kumbe ndoa zina mambo hivi, na mi ntaoa mwakani nijionee hayo mnayosema
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kanitukana sana kisa nimemtongozea JF

    Ndo utulie sasa, na siku nyingine uwe unatongoza mtu unaeonana nae ana kwa ana, kutongoza kwa mitandao ya kijamii utakuja pigwa changa la macho
  8. F

    JamiiForums Tanzania Je nimuoe au nimzalishe tu?

    Kama nimeelewa vizuri najaribu kuona kama huyo mwanamke anahitaji mahali pa kujituliza, ushauri wangu ni kwamba, kama huna mipango nae kwa baadae ni bora ukampa ukweli na kumwacha aende kujitafutia kiota kingine kuliko kuendelea kumpotezea muda na anazidi kuzeeka
  9. F

    JamiiForums Tanzania Afumwa akifanya mapenzi ofisini

    Kwa jinsi maelezo yalivyo nahisi kutakuwa na mtu aliekuwa najua kinachoendelea na amevujisha siri kwa mume wa huyo mdada, ila mgegedo ofisini, dah!!!!
  10. F

    JamiiForums Tanzania Hapa ndo ninaposhindwa kumuelewa mwanamke

    Wanawake,,,,,,, wengi wao wana maisha wa kuigiza sana, ila nawapenda sana
  11. F

    JamiiForums Tanzania Dar usiku wa leo ulikua mrefu kuliko mchana

    Ulilala na njoo????
Back
Top Bottom