Asee nimecheka sana.nimewai kujaribu kama siku mbili hivi, oooh ni ngumu sana ile mana wanasema inatakiwa mind iconcentrate kweny one thing bt mi nlikua nawaza hadi kipolo cha ubwabwa mpka mpira wa ulaya, yn kwa kweli nlishndwa sijui nitumie njia gan aisee.
Jamaa ameshindwa kumediate anawaza kiporo cha wali mara ligi ya ulaya..lolKwanini
Hahahaha apo ndo utajua hizi dini zote duniani ukiwa na akili ya kujiongeza hazikutishi kabisa na hazikuyumbishiMziki wake busara tu ndio itaamua. Kuna mtalii aligonga ng'ombe India weee weee..wanasema ng'ombe ni mama yao Mungu wao afu unamgonga![]()
![]()
![]()
KabisaaaaHahahaha apo ndo utajua hizi dini zote duniani ukiwa na akili ya kujiongeza hazikutishi kabisa na hazikuyumbishi
Tuendelee sasaShukrani mkuu mshana
Hapana hiki cheo kakipata hivi karibuni. .huyu Pannasekara Theravada sect wale ambao wanaamini katika kujikomboa kwanza wenyewe ndio wawakomboe wengine. asili yake ni Sri Lanka, Ile temple pale Mindu ilikuwepo tangu miaka ya 1970 lakini haikujulikana na wengi kwakuwa ilikuwa confidedKama nafahamu vizuri, kiongozi wa hii Dini kwa Afrika (Chief Monk for the African Continent) anaishi Tanzania, anaitwa
Rev. ILUKPITIYE PANNASEKARA
Mi huwa nafanya kwa muda mfululizo kisha naacha sababu sometimes napiganaanza kumeditate from today, count on me.

vip mkuu ulifanya kwa mda gan? madiliko je?Mi huwa nafanya kwa muda mfululizo kisha naacha sababu sometimes napiga![]()
![]()
Mabadilikoo yapo saana tu. Awali huwa ni kazi ukikomaa unaweza kuelekeza mawazo sehemu moja. Sikumbuki ilinichukua muda gani ila nilipozoea ilikua raha tu unakaa wala huchoki na unatamani uendelee.. tatizo sijui aina zingine za meditation zaidi ya kuhesabu kinyume nyume.vip mkuu ulifanya kwa mda gan? madiliko je?
vipi leo umekunywa chai ya rangi au ya milk?Washirikina katika ubora wao.Hivi,mwanadamu aunde sanamu yeye mwenyewe kisha aliite Mungu na kuanza kuliabudu,hiyo sio akili tena.Ni zaidi ya WAZIMU.
Unaposoma maandiko ya Buddhism kuna mabudda wa aina mbalimbali
Kuna
Sakyamuni Buddha(Sidharta Goutama) Buddha mkuu![]()
Kuan ing pusa(Buddha with a thousand hands![]()
Milefo (future Buddha)![]()
Ni kama aina fulani hivi kama ya utatu mtakatifu kwenye imani za kikristo...hivyo ndani ya Buddhism wanaamini katika ujio wa budha mwingine ambaye atakuja baada ya kalpa kadhaa(kalpa moja ni sawa na ukubwa wa jiwe la maili tano limogolewe kipande kidogo kila baada ya miaka mitano hata liishe)
Ukiichunguza sana hii dhana ya Milefo(Buddha ajaye)haina tofauti na dhana ya ujio wa Kristo kwenye imani za kikristo
Hakuna imani inayokosa utata na huu ni utata kwenye Buddhism pamoja na kujinasibu kusimama kwenye uhalisia na nafsi
Tuna watu wa kuvutika na mafundisho fulani, sio jambo baya jifunze lakini mwisho wa siku baki na msimamo wako mmoja! Hakuna dini inayokosa utata hakuna imani inayokosa ukakasi, ukiwa mtu wa kurukaruka utaishia kuchanganyikiwa
Future buddha/milefo/happy budha ni kitu cha kufikirika...Kalpa pia ni kitu cha kufikirika, jifunze haya mambo penye utata achana napo pasikuzuie kusoma ya mbeleni
Kumbe wahindu na wakrishna ni tofauti mweeh ??
Ni imani moja madhehebu tofauti