jumla
kilo 13 zinatoa 5lts
kununua kilo 600 *13=7800
kukamua 13*100= 1300
kununua dumu 1000
kuweka lable 1000
usafiri =2000
jumla 13900 gharama za uandaaji
utauza kwa 17000 kwa mkoani faida itakuwa 3100 kwa dumu
inamaana kwa gunia itakuwa 5*3100= 15500
hapo utauza mashudu kilo30 *sh 300*=...
H
Na wewe pia uwezo wako was kujieleza ni wakawaida mno, point zako hazieleweki unaongelea ukawaida UPI. Na we we pia uwezo wako was kutoa maoni ni was kawaida sana hats Haumtishi Mbwana Samatta
Unaweza kutumia diploma/technicians katik kazi zako. Ambao mishahara yao midogo ila wanaefficiency kubwa.. Na niwachapa kazi..
Uctumie maengineer wengi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.