Ndoa 300 huvunjika Dar kwa mwezi

Ndoa 300 huvunjika Dar kwa mwezi

Sababu ni zile zile....
1.Kula ujana kwenye ndoa,
2.uchawi mapenzini,
3.kukosa hofu ya Mungu,
4.past yenye maumivu ya kutendwa au kutenda,
5.kipato duni
6.ukosefu wa nguvu za kiume,
7.tamaa,
8.kiburi,
9.mdomo,
10.kutokuhudumia na kutokujitambua
Sanamu lako tukujengee wapi?
 
Sababu ni zile zile....
1.Kula ujana kwenye ndoa,
2.uchawi mapenzini,
3.kukosa hofu ya Mungu,
4.past yenye maumivu ya kutendwa au kutenda,
5.kipato duni
6.ukosefu wa nguvu za kiume,
7.tamaa,
8.kiburi,
9.mdomo,
10.kutokuhudumia na kutokujitambua
3 Muhimu jamani wanandoa, UKIMWI UPO NA UNAUA
 
Mlikuwa Watetezi bungeni eti 50 kwa 50 kwa mwamvuli wa haki za Binadamu, kuwafuatisha Wazungu wakati mna amali zenu . Rudini bungeni mkatengue upuuzi wenu huu .
Hamsini kwa Hamsini + Ugumu wa maisha = Atomic Bomb of Mass broken marriages
 
Sabbu ni zile zile za kilasiku
Low wages
Poor infrastructure
Poor government support
Lack of communication 😂😂😂😄
Ongezeenii zingine
Lack of selfawareness
Women discrimination
Lack of water supply
Child labour
Lack of capital
😂😂
 
Sabbu ni zile zile za kilasiku
Low wages
Poor infrastructure
Poor government support
Lack of communication 😂😂😂😄
Ongezeenii zingine
Inadequate of facilities
Lack of knowledge
Globalization
😂😂😂🤣🤣🤣
 
UVUMILIVU NA SUBRA
kwangu Ndio tatizo kubwa kwa wana Ndoa wa kizazi chetu...
 
Sababu ni zile zile....
1.Kula ujana kwenye ndoa,
2.uchawi mapenzini,
3.kukosa hofu ya Mungu,
4.past yenye maumivu ya kutendwa au kutenda,
5.kipato duni
6.ukosefu wa nguvu za kiume,
7.tamaa,
8.kiburi,
9.mdomo,
10.kutokuhudumia na kutokujitambua
5,6&10
 
Globalization,high exploitation eg taxes
 
Back
Top Bottom