Recent content by Fundi chupi

  1. Fundi chupi

    JamiiForums Tanzania Ni nani mmiliki wa huu ulimwengu/dunia?

    Haina mmiliki
  2. Fundi chupi

    JamiiForums Tanzania Epuka kuhifadhi vitu hivi kwenye fridge

    Nunua la saizi yako ule umalize
  3. Fundi chupi

    JamiiForums Tanzania Kifaa hiki kinaitwaje kwa Kiswahili

    Kinaitwa kigolokochi
  4. Fundi chupi

    JamiiForums Tanzania Hongera Baruan Muhuza wa Azam. Kipindi chako cha leo kuhusu mkutano mkuu wa CCM, umetisha!

    Hongera sana baruani muhuza kwa kuonyesha kipaji chako
  5. Fundi chupi

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mliokata tamaa na mnakumbwa na changamoto za maisha soma hapa

    Hizi dini ni kama bangi
  6. Fundi chupi

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaohitaji kuolewa

    Mungu ni bwana wa wasiokuwa na bwana. Mwache mungu awaoe tafadhali!
  7. Fundi chupi

    JamiiForums Tanzania Ni dawa gani ya usingizi wanayoitumia wezi kupuliza madirishani?

    Aisee nimecheka [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
  8. Fundi chupi

    JamiiForums Tanzania Ni dawa gani ya usingizi wanayoitumia wezi kupuliza madirishani?

    Wewe ni mzuri lakini nakupenda
  9. Fundi chupi

    JamiiForums Tanzania Acheni ulimbukeni na sifa za kijinga, njooni tuishi Mbagala

    Karibu rombo
  10. Fundi chupi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili jambo hufanywa na wanawake wote au ni power of nature?

    Ndio maana anachepuka huku
  11. Fundi chupi

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa kutoka Dar es Salaam kwenda Kasulu-Kigoma

    Mkuu mimi ndio natoka moshi kuja dar na hatimaye niende kigoma. Vipi waweza kunisaidia nijue nitapanda basi gani zuri, linalowahi? Au pia treni kama naweza ipata kwa huo muda nitakaoingia dar ambao ni kama saa tisa na nusu. Nahitaji kufika ujiji mkuu
  12. Fundi chupi

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe war veterans end backing for Robert Mugabe

    Natamani sana ungekuta ni Tanzania
  13. Fundi chupi

    JamiiForums Tanzania Historia ya wamasai kutokea Israel hadi Africa mashariki

    Upuuzi mtupu. Maneno mengi ni ya kutengeneza kutoka kichwani mwako. Engarenairobi
Back
Top Bottom