Hizi picha zinafanana na za waziri wa uganda or rwanda alikuwa nakula bata na mabinti zikasambaa mtandaoni ikabidi aliresign. Kazi kibongo bongo kawaida tuu. Dada anastahili kwenda kupiga kazi. Mama mkubwa mama mkapa, bff ndio hao umewaona kwenye picha. mungu ampe nini tena zaidi ya diplomatic...
Believe it or not Nobody knew about Shigongo 15 yrs ago, Huyu ni Kiumbe aliyetengenezwa kama vile Babu wa Loliondo alivyotengenezwa na kuhadaa umma. Ni product ya Secret service kutengeneza watu kama yeye.
Kila ukona Ufisadi wakati gharama za maisha zinazidi kupanda umeme haukamatiki, petrol iko juu, mafuta ya taa ndio hakuna kabisa,vyakula kila siku vinapanda. Ada za shule hii nchi ni nani anaishi kwa raha zaidi ya mafisadi?????
Ukikwama na kuwapigia ni taabu sana kuwapateni tatizo ni nini? Mbona USA unapiga Call centre haraka unajibiwa? Ni heri mzitoe kabisa tujue hakuna Namba za Huduma kwa wateja. Nawasilisha.
My specuations: EL, BMEMBE, ATIBAIJUKA, MSHEIN.. Wengine wanapoteza muda wao tuu waache wagawe fedha tule watu wa front na mashati yetu ya kijani,vuvuzela. Wanajf na mimi nataka nichukue udiwani maana nahitaji petrol ya bure kwenye ndinga.
Kuna mchangiaji ameongelea mfumo. Nini kifanyike, Nilikuwa RSA mwezi uliopita Cape Town ukiingia kuanzia airport unajua ile nchi watu wanafuata utaratibu sisi watanzania tuna curse gani ishindwe kwa jina la mwana wa daudi. Kila system iko broken. Tujiangalie na tufuate utaratibu husika.
Ni moja ya Benki zenye faida sana kwani pesa nyingi ya serikali inapita hapo. Inaongoza kwa wizi toka kwa wafanyakazi wao Wa IT department. mmoja mwezi uliopita amekosa kuuwawa na ma racketieering mafias. Dogo maisha yake yalibadilika ghafla mara akaingiliwa na majambazi nadhani bado yupo ICU...
Huyu ndg alithubutu,aliweza na alisonga mbele angekuwa ughaibuni jinsi web ilivyokuwa na visitor wengi ange make money ya kufa m2 kwa adverts classifed na non classifed. Kuna rafiki moja ni kibosile pale Capital Market authority alikuwa anaogopa kupigwa picha kiza ze uchungu.
Vituo vingi vya afya havifuati taratibu stahiki. Dada Lulu sawa ni kweli ana attitude, Rushwa kula bongo ni utamaduni wetu. Katibu mkuu sidhani kama ataweza kumshughulikia Pamela kwani ana back up ya vibopa. Napita tuu.
Rushwa inatusumbua sana kuna vijana wanatamni wapate leseni zitakazowawezesha kuajiriwa kama madereva lakini hakuna proper channel ya kupata sijui class C. Responsible authority dont even bother to educate tanzanians on how and when they can get Class C. Red tapism shit!!!!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.