Eric Shigongo auita mtandao wa JamiiForums wa "KIJINGA KIJINGA"...

Status
Not open for further replies.
Aina ya watu kama yeye ndo wanasababisha hawa majirani watudharau dunia ya sasa unatapeliwaje mchana kweupe kama ni mzalendo sana izo hela za kumleta huyo Mganda si angempatia kijana wa Kitanzania kama BARNABA,DIAMOND,AY,ROMA ambao wanamvuto kwenye jamii kuliko huyo CHAMELEON jamani huyu SHIGONGO ni JANGA la kitaifa tena ajue yeye ni kati ya WATZ wanye ufahamu mdogo na tuna taarifa zake anafanya biashara ya madawa ya kulevya pia....wana JF tuungane kukemea mouvu ya watu kama SHIGONGO bila kuchoka na itafika wakati tutazipeleka izi harakati zetu mbali.
 
Hana lolote asiseme JF haimnyimi usingizi inamyima tena kwa Sanaa sababu asingesema na anajitia anabusara kumbe ovyo tu, Kama mwanamme kagombee tena wamekula hela zako wakakuacha solemba,umebaki na maruerua hujui msimamo wako, ebu mrejeshee kijana paspot yake akatafute rizki yake mbele loh ,eti JF mtandao Kijinga jinga JF NIKIFIMBO CHEZA imekutoa jeuri yako, roho yako yakorosho Eric kila kizuri wataka kiwekwako kila habari unatauchapishe wewe ebu chapisha na yako pia ndio tutajua Kama kweli wewe MDAKU.
 
OhoooO nilijua tu keshalikoroga tutajua mpaka siku alojisaidia kitandani. Hivi huyu mtu si ndo alitumiwa na wauza unga kummaliza Amina Chifupa jamani, alafu lilivyojinga likatoaga makala waliochangia kifo cha AC. Mlokole awe yeye embu atoe picha za utupu anazowaweka wenzie kwenye magazeti yake alafu anajifanya kuficha na vidoa kwenye maziwa na chini ilihali kamuacha mtupu kote. Aondoke akatubu fisadi papa wa maisha ya watu huyu, ameona hapa JF kuna picha kama zake
kwanza ni bingwa wa kuhemea vichogo vya watu! atutolee ushetani wake hapa kabla hatujamu-expose! hana adabu! au anadhani hatuijui issue yake na kile kiumbe kuleeeee, alichokihemea almanusura kuumwa, lol! pathetic, chunga kinywa chako shigongo, tunakujua zaidi ya unavyodhania!
 
Believe it or not Nobody knew about Shigongo 15 yrs ago, Huyu ni Kiumbe aliyetengenezwa kama vile Babu wa Loliondo alivyotengenezwa na kuhadaa umma. Ni product ya Secret service kutengeneza watu kama yeye.
 
Shigongo ni hopeless kama magazeti yake!

Imagine, hajui kwamba ni govt authorities tu ndio wenye uwezo wa kushika passport ya mtu?

Shigongo ni polisi?
Ana uwezo gani wa kushika passport ya mtu?
Mambo ya kihuni kihuni kama ya kwenda magazetini kwake....
 
Huyu jamaa kuna kitabu chake kimoja title...'my body in my own coffin'....lol

dah sasa hapo waganda na wakenya kwa nini waditudharau?
hatuna hata mwalimu wa English course wa kumsaidia?????
anaongea nini sasa?

Ha Ha Ha daaah...nakumbuka aliingia kichwa kichwa kwa Politics...HATOSAHAU alivofanywa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Shigongo umefikia hapa kuita watu wajinga na kujitamba kuwa eti ndio maana zitto kajitoa jf kwni ni mtandao wa kijinga.

Nilisikitishwa sana na kauli kama hii kutoka kwako wakati jf imekusaidia wa tz kujua ukweli na jua jf imekusaidia watanzania kujua ukweli.

Na nilifurahi kusikia na wewe unapita hapa na nikashangaa wewe umesha sahau magazeti yako yanavyo eneza upumbavu.

Unaweza ukawa ulikuwa na haki sasa kwa nini hukusema mapema? Sisi kazi yetu ni kuriport kama magezito yako japo hapa haturiport uongo kama magazeti yako.

Kweli mkuki kwa nguruwe.

Wenzio waliona tuhuma jf na mitandao mingine baada ya kujitetea una waita wenzio wajinga! Umesahau unavyo wavua nguo watu kupitia magazeti yako.

Na kuhakikishia umechokoza moto
 
Siku nyingine ajifunze kushobokea wasanii wa nje wakati Bongo kuna wakali kibao,hamtaki kuwapa ata dola 500...ukome na ukome we mlokole unaefanya biashara za kuchafua watu.

Kwa hili watanzania tusimpe sapoti,sababu amewachafua sana wadogo zetu,na kuwaharibia hadi fyucha zao..wengi tu sasa ivi hawafai kwenye mitaa sababu yake,anaiba hadi picha za watu then anazitoa.
Pia nae ametapeli sana watanzania kwa kuwauzia vichwa vya habari za kubumba..
 
Vipi waandishi wa magazeti yake wakoje? Leo kajadilwa yeye inamuuma?
Hahahaaaaaa......AMA kweli mkuki kwa nguruwe......
 
coni kama kuna sababu ya maana ya kuendelea kumkashifu kiivyo wakat anawafumbia watu macho zidi ya wasanii wakubwa toka nje wanavyofanya hujuma cku zote msema ukweli huchukiwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom