Recent content by freshet net

  1. freshet net

    Nisamehe Baba chanja wangu

    .
  2. freshet net

    Kama idadi ya wanaokutembelea nyumbani kwako ni ndogo, usitegemee kupata traffic kubwa mitandaoni

    Fafanua zaidi ili tukuelewe mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. freshet net

    Kuna watu wamefungwa na familia zao wasioe ama kuolewa

    Kuna mambo kama utani ila ndo ukweli wenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  4. freshet net

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Fomu nimerudisha Tar 29/07/2019 Namba 0659666123 Chanika,Dar es salaam
  5. freshet net

    Naombeni gharama ya kutengeneza geti la chuma(ku-slide)

    Bajet yake inaanzia 700k na kuendelea itategemea na aina ya geti ulitakalo
  6. freshet net

    Wazoefu wa biashara ya boda boda na bajaji, njoo mtujuze changamoto mnazokumbana nazo

    Jambo si kutishana ila tunaelezea uhalisia wake.. Biashara hii inalipa endapo ukipata kijana mzuri na mwenye kujali chombo Mimi mwenyewe niliingiza 7m ila kilichotokea sina hamu
  7. freshet net

    Nichukue hatua gani?

    Jaribu kuangalia maji unayotumia hayana asili ya chumvi. Mm iliwahi nitokea ila maji ndio ilikua sababu
  8. freshet net

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi inatakiwa ichukue mda gani baada ya kujaza fomu ya maombi ya kuunganishiwa umeme ndio aje mkandarasi kwa ajili ya makadirio ya kulipia!
  9. freshet net

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Pamoja na kutambua kua una majukumu mengi sana kwa nafasi yako kama Raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Mimi nikiwa kama mwananchi wako au mtanzania mwenzako. Napendekeza kufanyike review kwa Mashirika na taasisi zote za serikali zenye kutoa huduma katika jamii kama zinaenenda sawa sawa...
  10. freshet net

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kudanganywa huwa ni ngumu kwa mtu mwerevu
  11. freshet net

    Huyu Mwanamke hajawahi kunikatalia jambo lolote

    Jichunguze labda wewe ni mkali sana haumpi nafasi ya kuelezea mitazamo/misimamo yake. Unaweza pia kumpa task yoyote inayotumia akili alafu linganisha utendaji wake na matarajio yako, kama atafanya chini ya kiwango nadhani itakusaidia kujua tatizo liko wapi .
  12. freshet net

    Wanaume tunachangia 75% ya Mahusiano

    Tangu lini mfanyakazi anamlipa boss mshahara!! Mwanaume ni boss lazima hiyo 75% imuhusu ,mwanamke ni msaidizi tu .kwahiyo usikimbie majukumu
  13. freshet net

    Huyu mama ni mpotoshaji kuhusu masuala ya ndoa. Adhibitiwe

    Za kuambiwa changanya na zako ,ndoa ni ya wawili na Mungu ndo kiongozi .Wengine tuache tu waongee mambo wanayoyaamini
  14. freshet net

    HIV+

    Mwenyezi Mungu amjaalie hitaji la Moyo wake
Back
Top Bottom