Nichukue hatua gani

G8M8

G8M8

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Messages
435
Points
500
G8M8

G8M8

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2019
435 500
Poleni na mihangaika ya hapa pale ndugu. nimeanza kilimo cha bustani hasa mchicha.. Lakini nakutana na changamoto kubwa hivi sasa mchicha wangu upo hatua ya kuvuna una majuma matatu hadi sasa changamoto Kuna ugonjwa umetokea kwenye majani ya mchicha wangu karibia wote niloanza kuupanda.. Majani yametoka ukungu kama unga mkavu meupe chini ya majani kwa juu inaonekana kama mabaka ya njano hivi kwa mbali.. Ushauri nichukue hatua gani nifanye kitu gani maana pia kuna mchicha mwengine nilio Anza kupanda now una siku kumi na 2 tu.. Situmii dawa sijawahi tumia dawa zaidi ya mbolea na kumwagalia... Ushauri wandugu.. Maana umenipa stress Sana..
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
9,750
Points
2,000
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
9,750 2,000
Upo mkoa gani?
Mbolea ipi unatumia ya kuku?
Umejaribu kubadili mbegu?
Hapo unapolima pamewahi kulimwa hilo zao? Je alipata changamoto kama yako?
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
9,750
Points
2,000
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
9,750 2,000
Pole sana,watu wanauzaga hata zikiwa hvyo..ngoja wataalam waje
Unakulaje mboga yenye kutu za majani. Wanunuzi huwa wanazikimbia.
 
G8M8

G8M8

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Messages
435
Points
500
G8M8

G8M8

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2019
435 500
Upo mkoa gani?
Mbolea ipi unatumia ya kuku?
Umejaribu kubadili mbegu?
Hapo unapolima pamewahi kulimwa hilo zao? Je alipata changamoto kama yako?
Nipo tanga ndio nimeanza kulima kwa hiyo mbegu (amaranthus dubious) hajawahi limwa ilo eneo ndio nimelianza mm.. Mbolea kuku mbuzi na N'gombe nilitumia zote...
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
9,750
Points
2,000
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
9,750 2,000
Nipo tanga ndio nimeanza kulima kwa hiyo mbegu (amaranthus dubious) hajawahi limwa ilo eneo ndio nimelianza mm.. Mbolea kuku mbuzi na N'gombe nilitumia zote...
Tumia mbolea ya kuku. Nenda duka la dawa wakushauri dawa gani nzuri. Kwa sababu hapakuwahi limwa mchicha so badae utaacha kutumia dawa pakitengamaa.
 
MAMESHO

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
322
Points
250
MAMESHO

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
322 250
kama hujalima eneo kubwa fanya hivi
tafuta siku moja ya wiki ambayo utatwanga muarobaini na mbegu zake chuja maji yake kiasi cha kiganja kimoja kwa tuta moja halafu changanya halafu changanya na majivu kama kiganja kimoja nyunyizia wakati wa jioni
tumia hii mara moja kwa wiki kabla ugonjwa haujaanza
mimi huwa siweki dawa na kwa njia hiyo nimeondoa wadudu wengi

tafuta maua yanaitwa marigold panda kuzunguka matuta yako wadudu hawapendi harufu yake watakimbia

pia unaweza kutafuta dawa yenye mkojo wa sungura fwata maelekezo yake hiyo ni kiboko

dawa nyingine ni alcohol 30% and water 70 ila bado ni ngumu kutoa maana itabdi ugeuze majani ndio upige
 
G8M8

G8M8

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Messages
435
Points
500
G8M8

G8M8

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2019
435 500
Jaribu kuangalia maji unayotumia hayana asili ya chumvi. Mm iliwahi nitokea ila maji ndio ilikua sababu
Haya maji yanayo asili ya chumvi kwa sababu ni ya kisima lakini yametokana hasa na mvua... Sijajua kiasi cha chumvi na sasa hivi hadi mchicha wa weak moja unaonyesha haya madhara naona kabisa.. Sipati kitu... ww ulichukua hatua gani baada ya kugungua hilo tatizo mkuu
 
G8M8

G8M8

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Messages
435
Points
500
G8M8

G8M8

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2019
435 500
kama hujalima eneo kubwa fanya hivi
tafuta siku moja ya wiki ambayo utatwanga muarobaini na mbegu zake chuja maji yake kiasi cha kiganja kimoja kwa tuta moja halafu changanya halafu changanya na majivu kama kiganja kimoja nyunyizia wakati wa jioni
tumia hii mara moja kwa wiki kabla ugonjwa haujaanza
mimi huwa siweki dawa na kwa njia hiyo nimeondoa wadudu wengi

tafuta maua yanaitwa marigold panda kuzunguka matuta yako wadudu hawapendi harufu yake watakimbia

pia unaweza kutafuta dawa yenye mkojo wa sungura fwata maelekezo yake hiyo ni kiboko

dawa nyingine ni alcohol 30% and water 70 ila bado ni ngumu kutoa maana itabdi ugeuze majani ndio upige
Asante Sana.. Je ulishawahi patwa na hiyo changamoto kwako ww
 
Forum statistics

Threads 1,336,355
Members 512,581
Posts 32,536,183
Top