Naombeni gharama ya kutengeneza geti la chuma(ku-slide)

jay311

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
2,928
Reaction score
2,726
Wakuu naombeni gharama ya kutengeneza geti la chuma lisilo na urembo ila iwe na design ya vertical bars, vipimo ni futi 15(upana) kwa 8.5(urefu).
 
Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    6.5 KB · Views: 176
  • commercial-sliding-gates-design.jpg
    commercial-sliding-gates-design.jpg
    30.1 KB · Views: 162
  • images.jpeg
    images.jpeg
    28.1 KB · Views: 159
Bajet yake inaanzia 700k na kuendelea itategemea na aina ya geti ulitakalo
 
Wakuu naombeni gharama ya kutengeneza geti la chuma lisilo na urembo ila iwe na design ya vertical bars, vipimo ni futi 15(upana) kwa 8.5(urefu).
Mpigie huyu mtaalam
Fundi Macha 0716024840
Yuko vzr

Ova
 
Ningekupa fundi aliyenitengenezea ilikuwa cheap mpk sikuamini
 
Wakuu naombeni gharama ya kutengeneza geti la chuma lisilo na urembo ila iwe na design ya vertical bars, vipimo ni futi 15(upana) kwa 8.5(urefu).
Njoo hapa ushirombo mafundi kibao bei rahisi sana
 
Back
Top Bottom