Recent content by Freetown

  1. Freetown

    Kassim Majaliwa: Niambieni ni nchi gani duniani Bunge huonyeshwa kwa saa 8?

    Kama ni hivyo basi vituo vyote vya Television na Radio vifungwe saa za kazi kwani navyo vitakuwa havina watazamaji kwa kauli hii ya Majaliwa.
  2. Freetown

    CCM waanza kuiga kudeki barabara!

    Nadhani kitakachofata wataiga kwa kumpigia kura Lowasa/ukawa hapo 25 October
  3. Freetown

    Tamasha la "Wasanii wa Mabadiliko"

    Kwanza kabisa watajaribu kuzuia, ikishindikana kuzuia, wataiga
  4. Freetown

    Warioba anena tena: Chagua Magufuli

    Sababu mojawapo inaweza kuwa ili asimwangushe Kipi Warioba anayegombea ubunge jimbo la Kawe kwa ticket ya CCM
  5. Freetown

    Msaada: Download ya biblia ya kiswahili

    hii link itakusaidia kwa lugha nyingi sana https://www.bible.com/bible/164/gen.1.suv
  6. Freetown

    Neymar Jr. All 176 Goals in Santos & Brazil 2009 - 2013 |HD|

    Neymar Jr. Kijana yupo sharp sana, mabeki wanayo kazi
  7. Freetown

    Waandishi wa Kitanzania kichekesho

    Tuwekee hapa tafadhali nasi ambao hatukubahatika kuyasikia maswali na majibu kwenye hiyo press conference
  8. Freetown

    Scolari ameibadilisha brazil

    Naomba nikusahihishe kwenye blue, ushindi ilikuwa kama ifuatavyo dhidi ya Japan3-0, Mexco 2-0, Italy 4-2
  9. Freetown

    CHADEMA isipo thibitisha uhusika wa Polisi -bomu Arusha kabla ya trh 30.....

    UKISOMA HII UTAELEWA, KWANI CAMERA HAIKUWA IMESHIKWA NA MTU, HAYA NI MAJIBU KWENYE BLUE imethibitika kuwa chama hicho kilitumia mtambo maalum wa mawasiliano kurekodi mkutano wake wa mwisho katika uwanja wa soweto Arusha. Mtambo huo ambao unauwezo wa kurekodi matukio kwa masaa 72 mfululizo bila...
  10. Freetown

    Kulala msibani balaa

    Unatoka asubuhi kama huna shughuli mhimu pale msibani unakwenda lala nyumbani, jioni ukirudi una nguvu mpya au siyoo!!!!!!!!!!!!!
  11. Freetown

    Kulala msibani balaa

    kwenye misiba ni sehemu ya kukesha usiku mzima na siyo kulala
  12. Freetown

    Kulikoni Tanzania daima mtandaoni

    Wanajukwaa kimetokea nini Tanzania daima mtandaoni bado ina habari za tarehe 17-06-13, kwa anayejua tafadhali anijulishe, je na gazeti la Tanzania daima lipo mitaani???
  13. Freetown

    Yanga FC vs Kagera sugar FC leo tar 27-02-2013 taifa!!!!!

    Mliopo uwanjani tuleteeni yanayojili
  14. Freetown

    Wapi hapa?

    Hapo ni Kigali International Airport, Rwanda
  15. Freetown

    Wananchi wa Sierra Leone kuchagua Rais, Wabunge, Madiwani na Mameya leo

    Ok pole, tuwasiliane kwenye inbox ya FB
Back
Top Bottom