Scolari ameibadilisha brazil

jem the great

Member
May 25, 2013
44
11
Ckutegemea saana kama Brazil wangeleta upnzan saana kwenye hii michuano..wamebadilika na wanajtahd kwa kwel ingwa bado kuna makosa madogo ya kurkebsha...
 
Wana striking force nzuri sana ila defence haiko vizuri sana,coz hata ushindi wao confederetion cup ni 4-3,4-2 etc,inamaana defence yao inaruhusu magoli sana,lakini scolari atayafanyia kazi before WC starts.
 
Kwa hizo data hapo juu, bado wana kazi ya kuitengenza beki yao ili kupunguza idadi ya magoli ya kufungwa!
 
Cyo kwel kaka cnc hili kombe lianze jana ndo wameruhusu mabao mawili...kwanza watu waltabiri hata hatua ya makund wasngemalza vzur..
 
Mimi tatizo ninaloliona kwa upande wa Brazil ni nafasi ya kiungo, bado hajapatikana mchezaji mahiri wa kuunganisha mabeki na washambuliaji. Kama hawatafanya marekebisho mapema, itakuwa vigumu kuzifunga timu kama Uruguay,Spain na Ujerumani.
 
Yap kuhalisia Scorali kaongeza kitu kwa Brazirl maana ni ukweli uliowaz Brazirl walikuwa wamebaki jina tu lakini kwa sasa kama mechi ya jana na timu kubwa kama Italy kuna Kitu nilikiona kwa Brazirl.
 
acha ujinga wewe, Spain ana makombe gani zaidi ya tukombe tuwili tu twa ulaya na kamoja ka dunia?
https://en.wikipedia.org/wiki/Brazil_national_football_team
ongeeni yote ila kwa sasa Spain ndio bora duniani miaka 8 mfululizo namba 1 ktk soka duniani,na ana 3 ulaya,sio 2 ina maana wewe kutokana na uliyoandika Spain umeanza kuwajua zaidi 2010,zamani sawa ilikuwa inaundwa na wachezaji wa timu ndogo eg mallorca,bilbao na celta vigo,enzi hizo barca waholanzi real madrid umoja wa mataifa tofauti na sasa ni9 barca na real madrid wachezaji wengi wanaunda Spain
 
Wana striking force nzuri sana ila defence haiko vizuri sana,coz hata ushindi wao confederetion cup ni 4-3,4-2 etc,inamaana defence yao inaruhusu magoli sana,lakini scolari atayafanyia kazi before WC starts.

Mh! Defence!!? Ya Brazil........! Brazil 3 Japan 0, Brazil 2 Mexico O na Brazil 4 Italy 2.....tafakari upya mkuu!
 
I usually appreciate Scolari, i wondered when chelsea boss chased him away, Scolari need slow changes with big impact in results. God bless u Scolari
 
Wana striking force nzuri sana ila defence haiko vizuri sana,coz hata ushindi wao confederetion cup ni 4-3,4-2 etc,inamaana defence yao inaruhusu magoli sana,lakini scolari atayafanyia kazi before WC starts.

Naomba nikusahihishe kwenye blue, ushindi ilikuwa kama ifuatavyo dhidi ya Japan3-0, Mexco 2-0, Italy 4-2
 
Spain Hawako vizuri kivile, jana Nigeria ingekuwa na Washambuliaji wa kueleweka ungeona majanga.....
 
Back
Top Bottom