Kulala msibani balaa

Kulala msibani balaa

Nawewe ungejifanya unaota then unajisogeza beside...unamgegeda..next ukienda kulala msibani usisahau CONDOMS..ili ukiwa unaota uwe umevaa kabisa..
 
Salute all MMU,
Hivi kulala msibani ni lazima? Nauliza hivi maana kunavitu nimeviona juzi msibani nikaona niwajuze tuu. Tumelala pale msibani mama mmoja Usiku akaanza kuota anadinyanya na mumewe khaa! Watu wote msibani tuliamka maana huyo mama alikuwa anakata mauno balaa na kutoa miguno ya mapenz mmh watu wakaanza kucheka kama baada ya dakika tano akahema kwanguvu kisha akarudi usingizini. Hakuna aliyemwamsha hadi asubuhi. Sasa huku sikujitia aibu.
Bora kukoroma kuliko vituko hivyo. Nihayotu.

Huyo mama atakuwa ana pepo la Ngono huyo....
 
ukiharibu ni umeharibu tu haijalishi ni usingizini,umelewa au una akili zako timamu

Kwa imani hiyo uliyonayo hakika unastahili kuamini kuwa hii ni fedhea...
 
SnowBall huyo mmama inawezekana ana yale makitu yanaitwa nani mahaba
kwa hali ya kawaida naamini mtu huwezi fanya kitu kama hicho.
Hapo nilipobold....ni kweli? au umetia chumvi?....manake sipati picha ya mtu aliyeko matatizoni kukata hayo mauno ya haja...
Anyways...nadhani ndoto haichaguliki...unaweza kuota chochote... by the way Asprin uko poa bro?... wapi Erickb52 , KakaKiiza na Bujibuji ?
 
Last edited by a moderator:
Wanawake huwa wanagegedana?

Nawewe ungejifanya unaota then unajisogeza beside...unamgegeda..next ukienda kulala msibani usisahau CONDOMS..ili ukiwa unaota uwe umevaa kabisa..
 
Miaka ya nyuma kidogo,
ilikuwa watu wakilala msibani ndo ndoa zinaendelea huko migombani na mapagalani
kwa sasa sijui sana.
 
Niko mujini mzee wa ukaguzi....naandaa namna ya kukutafuta...si unajua protokali! KakaKiiza hana tabu bana tumeenda sawa tu...hii hata Mtambuzi anaijua..

Niko poa muzee. Nimepata habari yako kuwa uko mujini lakini hutaki kuonana na kaka mukubwa. Hii mutu inaitwa KakaKiiza umefanikiwa kuonana nayo? Iangalie sana bazazi hiyo haichelewi kukuingiza choo cha kike...
 
Last edited by a moderator:
aibu haikwepeki we uote unagegedwa tena kwa sauti watu wote
wakaamka kukutizama wewe usione aibu.....

Its unconsious lakin u feel shy cos it happened on the public,
All the people staring on you...

Nafikiri aibu itakuja pale kama kuna mtu atamstua kuwa..bi mkubwa umetoa manjonjo hapa si mchezo.....lakini kama walimnyamazia kimya anaweza asijue hata kilichotokea.

Ila hizi ndoto nyingine kweli zinafedhehesha.....khaa...
 
Hivi na wewe unaamini kuna kitu kama jini mahaba??...
Lakini pia kuota unananihiii mbona inatokea sana na nisehemu ya biolojia?...

SnowBall huyo mmama inawezekana ana yale makitu yanaitwa nani mahaba
kwa hali ya kawaida naamini mtu huwezi fanya kitu kama hicho.
 
Kuna mahali imeandikwa kwamba huyo mwanamke aliamka?
Wakati anaota anagegedwa alitaja kwa mihemuko majina au jina la hawara yoyote?
Jambo kama hili halipaswi kujadiliwa Kiswahili swahili tu kama kwenye vijiwe vyetu vya kahawa au saluni...


aibu haikwepeki we uote unagegedwa tena kwa sauti watu wote
wakaamka kukutizama wewe usione aibu.....

Its unconsious lakin u feel shy cos it happened on the public,
All the people staring on you...
 
Yawezakana alipitiwa na jini mahaba akadhani yuko na mumewe!
 
Wengi wetu huwa twalala usiku kucha twaachia mashuzi kama tarumbeta za Kirumi...
Wengine huwa mwalala miudenda yawatoka kama jing'ombe lalambishwa jiwe la chumvi...
Lakini yote hayo hayahesabiki kama fedheha kwa kuwa kwa wakati huo System ya Coordination inakuwa imepumzika...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom