Warioba anena tena: Chagua Magufuli

Warioba anena tena: Chagua Magufuli

Mzee mwenye hekima, busara, akili na maono makali ya wapi taifa hili linapaswa kwenda na nani awe dereva sahihi wa safari hii, jaji mstaafu/ waziri mkuu mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba kwa mara nyingine tena leo ktk kampeni za mgombea urais wa ccm mkoani Mara amesema watanzania tumchague Dr. JPM sababu ni muadilifu, mchapa kazi na hana kashfa za ufisadi.
Sasa sijui BAVICHA ya Lowassa watasemaje hapa maana walidhani mzee ni mpumbavu atawaunga mkono ktk 'mabadiliko' hasi yao!
Huyu mzee si wa kununuliwa hata kidogo.
Ni hayo tu!

WATANZANIA TUSHASEMA HATUMCHAGUI LOWASSA.

Wewe sema humchagui usiseme watanzania maana sisi pia ni watanzania tunamuunga mkono.
pili yeye warioba wawezi kutupangia watanzania, kwani Warioba ni nani?
Mnapewa vipesa mnazani mtawabadili watanzania No.
 
Ukawa hiyo ya mafisadi? Warioba ni mtu safi na msafi yeyote hawezi kukaa na mafisadi waliokithiri...

Mbona huyu Magufuli ni Fisadi zaidi ya Lowasa tena kwa mbali barabara katutia hasara ya zaidi ya Tilion 1.4 bado hatutosheki?
 
Warioba apuuzwe. UKAWA tunaenda kuitumia rasimu ya katiba ya Warioba ili wananchi wapate katiba bora. Magufuli ameandaliwa katiba ya magumashi ya Sitta na Samia. Katika hali ya kawaida, Warioba ange support UKAWA.

Ni napiga kura kwa magufuli
 

Attachments

  • 1441917411206.jpg
    1441917411206.jpg
    20.3 KB · Views: 152
Wewe sema humchagui usiseme watanzania maana sisi pia ni watanzania tunamuunga mkono.
pili yeye warioba wawezi kutupangia watanzania, kwani Warioba ni nani?
Mnapewa vipesa mnazani mtawabadili watanzania No.

Uzuri hamzidi laki 2!
 
Mzee mwenye hekima, busara, akili na maono makali ya wapi taifa hili linapaswa kwenda na nani awe dereva sahihi wa safari hii, jaji mstaafu/ waziri mkuu mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba kwa mara nyingine tena leo ktk kampeni za mgombea urais wa ccm mkoani Mara amesema watanzania tumchague Dr. JPM sababu ni muadilifu, mchapa kazi na hana kashfa za ufisadi.
Sasa sijui BAVICHA ya Lowassa watasemaje hapa maana walidhani mzee ni mpumbavu atawaunga mkono ktk 'mabadiliko' hasi yao!
Huyu mzee si wa kununuliwa hata kidogo.
Ni hayo tu!

WATANZANIA TUSHASEMA HATUMCHAGUI LOWASSA.

lowassa n rAis wako
 
Kat ya watu wanaoniudh kwa sasa huyu mzee ni nambari wani
 
Utumwa wa kisiasa ni jambo baya sana...

Hivi huyu mzee hadi siku ile anachapwa vibao pale Blue Pearl si alikuwa anaiponda sana CCM kwa kupuuzia maoni ya Watanzania...

Tena akiwa na kina Prof Kabudi waliweza kuiita CCM kuwa imeshupaza shingo yake, lakini leo hii Warioba yupo kijiwe kimoja na hao washupaza shingo...

Hapo ndipo unapotambua KIONGOZI mwaadilifu na asiye mnafiki, kama hayo uliyoandika kuhusu Mzee ni kweli. Hao waliokatwa wameondoka na na bila haya wakaingia kambi ya upinzani kuomba tena uongozi, waitweje! Na hao waliowapokea bila kufuata Katiba zao nao tuwaiteje! Je wataweza kuitetea na kuitekeleza Katiba ya JMT!

TAFAKARI CHUKUA UAMUZI ULIO SAHIHI.
 
Huyu mtu ndie yule aliewambia CCM tutakutana mitaani ,sijui amesibiwa na nini ,au ile koswakoswa ya kupigwa na viti ndio imemtia hofu ,kuna mmoja alichapwa kibao na waislamu wenye siasa kali ,Ila mwaka huu CCM msione watu wametulia ,kwani huku watu weshachoka wanasema liwalo na liwe Tanzania haitokuwa nchi ya mwanzo kuchafuka pengine nionavyo ni ya mwisho ,kama kulindwa amani basi amani haitolindwa na CCM ,haiwezekani iwe wewe unapiga wenzako halafu useme unalinda na kudumisha amani,

Hapa mabadiliko tu.
 
Sababu mojawapo inaweza kuwa ili asimwangushe Kipi Warioba anayegombea ubunge jimbo la Kawe kwa ticket ya CCM
 
Hay ni baadhi tu ya athari za mwenye ugonjwa alionao Lowasaa, mengine ni haya hapa:

People may experience:
Tremor: can be postural, can occur at rest, in the hands, or limbs
Muscular: difficulty standing, difficulty walking, difficulty with bodily movement, involuntary movements, muscle rigidity, muscle twitch, problems with coordination, slow bodily movement, stiff muscles, or slow shuffling gait
Cognitive: amnesia, confusion in the evening hours, dementia, or difficulty thinking and understanding
Sleep: daytime sleepiness, early awakening, nightmares, restless sleep, or sleep disturbances
Sensory: distorted sense of smell, loss in contrast sensitivity, or loss of smell
Speech: impaired voice, soft speech, or voice box spasms
Facial: jaw stiffness or reduced facial expression
Urinary: dribbling of urine or leaking of urine
Whole body: dizziness, fatigue, or poor balance
Psychological: anxiety or depression
Also common: apathy, blank stare, constipation, difficulty swallowing, drooling, falling, fear of falling, neck tightness, restlessness, small handwriting, trembling, unintentional writhing, or weight loss

Sources: Mayo Clinic and others.

Sasa fikiri kumpa urais mtu kama huyo kama si upumbavu ni nini?

Lazima tumpe tuuu sio na magonjwa ukishazeeka kama wewe lazima yaje tuuu
Twataka mweny maamuzi magumu sio siasa mpaka mambo ya muhimu
TeamLowasa kwa sana nahitaji kura yako ...asante sana bibi yangu
 
Back
Top Bottom