Wasipokuwa makini TCRA watablock na simu zisizohusika. Mtu anaweza kuripoti tukio la wizi kumbe hajaibiwa ila anabifu na mwenye simu na amejitahidi akapata IMEI ya simu husika. Kwa kifupi zoezi gumu labda wafungue ofisi kila wilaya ili mtu apeleke malalamiko physicaly na vielelezo vya kununulia...
Hongera kijana kwa kutengeneza habari ya kizushi. Tambua hii siyo fb au twiter ya kujadili habari za kipuuzi zisizo na mashiko na zilizojaa upotoshaji kwa umma. Mafunzo ya jkt yapo kama kawaida.
Mwache amtafutie kiki ya baadae coz hata Lowassa alianza mbio 1995 kiasi cha kumfanya awe hot hadi wenzie tumbo joto. Hivyo tumwache ajipange kwa miaka mingi ijayo ikibidi 2035.
Chakufanya ni kuendelea kutafuta mwarobaini wa ajali za barabarani ili mwisho wa siku tuwe na amani pindi tunapotumia barabara zetu. Waathirika wa ajali huwa hatuna thamani katika nchi hii maana kila mmoja huwa anatusahau hasa wanaotumia mabasi na kukumbwa na janga la ajali anaachwa akapambane...
Like fb page ya Patrick mission high school kuna member katoa ushuhuda wa kupatiwa 3 ml. Sijui ndo miongoni mwa matapeli coz anahamasisha members wajiunge
Poleni sana watanzania wezangu mliowekeza mitaji yenu ya biashara katika soko hilo. Najua wengi mtaathirika sana na tukio hilo kwakuwa biashara hizo ndo zilikuwa kila kitu katika maisha ya kila siku. Na wengine bado wanarejesha mikopo waliochokuwa kwenye taasisi za fedha kwaajili ya kuendeleza...
Ikumbukwe kuwa sheria kwa sasa inataka maamuzi yaridhiwe na theluthi mbili ya wajumbe wote (hata wasiohudhuria wanahesabiwa) toka bara na zanzibar jambo ambalo kujitoa kwa Ukawa kutaathiri maamuzi na hasa upande wa zanzibar.
Kama ni hivyo wajumbe wasiokuwepo wakati wa kupiga kura wanahesabiwa...
maisha hayana formular. mbona wapo walioanza na biashara na matokeo yake biashara zimekufa na nyumba za kuishi hawana. hii kitu haina guarantee bali ni wewe mwenyewe utakavyojipanga kukabiliana na maisha.
Wapo wengi sana ktk jamii zetu. Inabaki kuwa historia tu. Utasikia mtu akisema eti zamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.