Bungeni kuna sheria imepitishwa kuwa kwasasa mtu yeyote atakayempa mwanafunzi mimba, kifungo ni miaka 30.
Je naomba kuuliza ile sheria inayoruhusu kuoa binti mwenye miaka 14 ilishafutwa au ndiko ubabe utatumika pale mnapompeleka mtu mahakamani na sheria kukinzana?
Maana je kutakuwa na maana...
Hii nchi kila kukicha kuna mambo ambayo mtu ukiwaza huwa kichwa kinauma sana. Kila nikitafakati nashindwa kupata jibu sahihi kuwa either huu ujinga ni kwetu tu au pia ujinga huu upo katika mataifa mengine yanayojinasibu kuwa yameendelea au yako katika category ya nchi zinazoendelea.
Sakata la...
Katika jambo ambalo linanishangaza mno ni suala la ukuu wa mkoa na umeya.Hakika nchi hii ni ya ajabu haina mfano.Inakuwaje mkuu wa mkoa kama wa Dar es Salaam anakuwa anaheshimika na kupewa nafasi katika mambo muhimu huku cheo chake ni cha kuteuliwa tu wakati mameya ndio inabidi wawe na hayo...
hakika hapa hatuna rais wala wabunge wa ccm wanaowajali wanyonge.
kila kukichana maneno mengi ila likija suala la uhalisia wa maisha hamna linalofanyika.
wabunge hawa wa ccm wanajinasibu wapo kwaajili ya wananchi pamoja na rais wake ni vituko tu.
yaani wao after 5 years wana kiinua mgongo cha...
Katika taarifa nilizozipata leo, kuna moja imenishtua sana na kuona kweli sasa CCM hii na serikali yake imeamua kuua demokrasia nchi hii.
Yaani bunge live wamekataa kwa sababu wameona watasulubiwa vya kutosha. Baada ya upinzani kuwashinikiza sana wakaona isiwe taabu ngoja tuwafukuze bungeni...
kuna jambo nimeliona kwenye magazeti ya leo kuwa ccm itakuwa inapita kila mahali ukawa walikopita kuelezea namna serikali inavyokandamiza democrasia bungeni pamoja na kuingilia huo mhimili wa bunge.
hili jambo limenishangaza sana, kama wanaweza kujibizana na ukawa nje ya bunge tatizo liko wapi...
Hakika tunapoelekea nchi hii ni kubaya mno. yaani ukiiba hela ndefu basi ndio usalama wako tofauti na waiba kuku ambao lengo ni kupata kitoweo kutokana na hali duni ya maisha iliyosababishwa na serikali hii ya CCM.
Gazeti la nipashe la leo linasema report ya lugumi itawasilishwa soon na kamati...
Hakika hii nchi tunapoelekea sasa naamini tunaanza kuingia katika zama za kidictator kwa kubana uhuru wa kupata habari pamoja na kupata habari sahihi kwa muda muafaka.
Tangia rais mpya (JPM) aingie madarakani, ilionekana ameanza vizuri kwa kasi ya ajabu katika mambo mbali mbali iliyoamsha...
Tangia vugu vugu la uchaguzi uanze kumekuwa na mambo ya kustaajabisha sana!
Maana kama NEC ndiyo wasimamizi wa mambo ya uchaguzi, ila nayo inaonekana kutumika na chama tawala kwa mfano:
1. Mgombea urais kupitia ccm siku anazindua kampeni alipitisha zaidi ya nusu saa pamoja na lugha za matusi...
Katika uchaguzi huu, inasikitisha kuona wana ccm badala ya kujadili hoja zao, na kutuambia katika miaka kumi wamesimamiaje sera zao katika kutekeleza ilani yao wanatumia nguvu nyingi kweli kulaunch personal attacks kwa mgombea wa urais kupitia ukawa. Katika akili ya kawaida hii ni ishara ya...
lowassa hakuwa mbunge wa jimbo lolote dar, bali alikuwa mbunge wa monduli hivyo hakuwa na lazima ya kufanya ziara katika jimbo ambalo si lake. sasa anagombea urais nchi nzima na dar ndipo atakapofungulia kampeni, hivyo hana budi kuzunguka na kuona changamoto za wananchi katika mkoa huu na...
lowassa hakuwa mbunge wa jimbo lolote dar, bali alikuwa mbunge wa monduli hivyo hakuwa na lazima ya kufanya ziara katika jimbo ambalo si lake. sasa anagombea urais nchi nzima na dar ndipo atakapofungulia kampeni, hivyo hana budi kuzunguka na kuona changamoto za wananchi katika mkoa huu na...
raia mwema kwani ina tofauti na gazeti la uhuru? si ni kama mapacha. kazi yao ni kuandika story za kutunga na kushabikia ccm. ni aibu kwa taaluma ya uandishi kuandika habari za uongo na upendeleo.
Tangu Mh. Lowassa atangaze kuchukua form ya Urais kupitia CCM amekuwa akirushiwa makombora ya aina zote kutoka makada mbali mbali kwa njia ya mafumbo hasa kina Nape, na wenzake. Je, kama walikuwa na vigezo vyao na ushahidi tosha dhidi yake basi ingeonekana ni chama kilichokomaa na kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.