franklin12xx
Member
- Sep 24, 2014
- 28
- 31
Katika taarifa nilizozipata leo, kuna moja imenishtua sana na kuona kweli sasa CCM hii na serikali yake imeamua kuua demokrasia nchi hii.
Yaani bunge live wamekataa kwa sababu wameona watasulubiwa vya kutosha. Baada ya upinzani kuwashinikiza sana wakaona isiwe taabu ngoja tuwafukuze bungeni wanaonekana kuibana sana serikali, baada ya hapo upinzani ukasema basi sisi tutafanya mikutano nchi nzima kuongelea undani wa madudu ya serikali hii na iliyopita maana sehemu yao ambayo walienda kwa merit kuwakilisha mawazo ya wananchi wao wamefukuzwa.
CCM nao as usual wakakopi na kupaste kama walivyofanya kwa elimu bure ambayo ni madudu tu inafanya. CCMwakasema na sisi tutapita kila wanapopita wapinzani. Ila baada ya kujitafakari kuona hawa jamaa tuliowafukuza bungeni ni hatari wa kujenga hoja wakaona bora watumie polisi kuzima hii mikutano kwa sababu za kiintellinjensia na kutoa onyo kuwa yoyote atakayefanya mkutano watamchukulia hatua.
Sasa hii nchi si waideclare tu kuwa ni ya kidictator, maana ndio nini sasa hiki. kila mahali wanakandamiza cause wana vifaru na bunduki. hakika tunapoelekea ni kubaya.