haki iko wapi serikali hii inayojiita ya wanyonge!

franklin12xx

Member
Sep 24, 2014
28
31
hakika hapa hatuna rais wala wabunge wa ccm wanaowajali wanyonge.
kila kukichana maneno mengi ila likija suala la uhalisia wa maisha hamna linalofanyika.
wabunge hawa wa ccm wanajinasibu wapo kwaajili ya wananchi pamoja na rais wake ni vituko tu.
yaani wao after 5 years wana kiinua mgongo cha mamilioni huku wengine wakiambiwa watapata hela zao watakapofikisha miaka 55.
hii nchi hii sijui mungu alitufanyie nini?
yaani mtu anayewaza sanamu ya mashujaa itolewe iwekwe ya diamond huku baada ya 5 years ana 150m, wakati wengine wanaohangaika usiku na mchana kama watu wa madini kwa kukosa ajira kwingine unaambiwa mpaka ufikishe 55yrs.
hapana aisee this is not fair.
 
Back
Top Bottom