franklin12xx
Member
- Sep 24, 2014
- 28
- 31
kuna jambo nimeliona kwenye magazeti ya leo kuwa ccm itakuwa inapita kila mahali ukawa walikopita kuelezea namna serikali inavyokandamiza democrasia bungeni pamoja na kuingilia huo mhimili wa bunge.
hili jambo limenishangaza sana, kama wanaweza kujibizana na ukawa nje ya bunge tatizo liko wapi kujibu hoja zao bungeni kukiwa na bunge live. serikali hii hii iliyokuwa inasema haina hela kurusha matangazo live kwa hakika mikutano hiyo itahusisha rasilimali nyingi za serikali kama mavx ya wakuu wa mikoa na wilaya husika pamoja na wakurugenzi katika maeneo husika.
bungeni ndiko mahali ambako debate hasa za siasa zipo, watu wanaleta hoja then upande nwingine unajibu, ila wenzetu wa ccm baada ya kujua wana wabunge wengi vilaza wasiyo weza jenga hoja zinazokubalika kwa wananchi wameona njia pekee ni kuwafukuza wataalamu wa kujenga hoja hizo huku ikidhani imesuluhisha,
Sasa baada ya upinzani kuona njia pekee ni kuwashtaki kwa wananchi nchi nzima nao wameona ni vyema kucopy hiyo strategy alafu wakishindwa kukubalika watakasirika na kuanza kuwatumia kina bulembo kutukana wanasiasa wa upinzani huku as usual msajili wa vyama vya siasa akiwaangalia tu.