Recent content by frank wa moyo

  1. F

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji katika hisa.

    mtafute jamaa mmoja anaitwa BUSARA anafundisha review za CPA pale mtendeni, au kama kuna mwanafunzi wa review pale mtendeni akupe namba umtafute, jamaa anajua mambo ya hisa balaa
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nzi ndani ya Studio Jiji Letu Jana-ITV

    cc. Nzi
  3. F

    JamiiForums Tanzania Zion Daughter apata mtoto, a baby girl

    hongera kwa kupiga kavu dada zion
  4. F

    JamiiForums Tanzania Wasomi wakutana Karimjee, waazimia kuifuta CHADEMA Vyuo Vikuu

    is this a thread?
  5. F

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

    wewe ni bikra?
  6. F

    JamiiForums Tanzania Jiko dogo la gesi linauzwa

    sio la dili asee, kwani unanunua na kuliuza, kwanini ununue kitu bila malengo nacho? any way kufikia next week kama halijauzwa ni pm
  7. F

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanaopendelea ajira asilimia kubwa hufa maskini tofauti na wajasirimali

    Huyo mkurugenzi anaewadanganya, kaajiriwa
  8. F

    JamiiForums Tanzania Selection kidato cha tano 2014

    omba clinical officer achana na habari za advance unapoteza muda mwishowe utage huko CBG
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nimetajiwa shilingi milioni tano mahali ya kuoa

    zamani mahari ilikuwa ng'ombe 50-100, ungekuwa na ka milioni tano kako usinge oa
  10. F

    JamiiForums Tanzania PICHA za Capt. Komba zenye utata zasambazwa kwenye mitandao ya kijamii!

    mzee kaingia msituni kakutana na haya
  11. F

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwa Banker wenye CPB

    inabidi nikaipge CPB niongeze asst ya ma vyeti
  12. F

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    ngoreme bus service, mwanamara kaja nayumba, bukwaya, manko express
  13. F

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye binti anayedai kubakwa na mume wa Flora Mbasha

    kama ni hili goma ingekua ajabu kama lingeshindwa kubakwa, salaaaleh, hili dude la kimataifa.
Back
Top Bottom