Kwa baadhi ya vyuo huwa wanaita direct costs.
Ukipewa mkopo 100% unahitajika kulipa ile direct cost ambayo ndani yake Kuna vitu Kama examination fees, identify card cost, students union, as well as bima ya afya ( hivi vyote serikali huwa haigharamikii)
Kuna Taasisi za serikali hujisahau mno. Kuna baadhi ya vyuo kiukweli wako very smart. Wanawatreat wanafunzi Kama wateja kabisa.
Tunahitaji kutoka kwenye ile dhana ya kuweka ngumu kwenye level ya University.
Wamesahau kuupdate contacts, mbaya zaidi no response kwa wanafunzi ambao watakufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.