Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Utaniweza kweli jirani yangu?Ngoja nikutongoze na ID hiyo hiyo...
Utaniweza kweli jirani yangu?Ngoja nikutongoze na ID hiyo hiyo...
Nilimfanyaje kwani?Amesema hana hamu na wewe kwa ulivyomtenda.
Hahaha na bado tutakujua tu.Labda kama uhamie twitterHumu kushaharibika ni muda wa kuja na ID damu changa....
Nimeipenda hiyoo taaaamu asikwambie mtuuu

Ya Mpesa.Wakuu mnaanza viph kutongoza PM mnatumia maneno gani dah
Bado nini?...doh na wewe bado.....
Huu ni unyanyasaji...sasa nitachagua yupi nimuache yupi....hapa ndio naona umuhimu wa kusilimu!
Teh teh unduguu wa kiajeeNajua mtakua mnaheshimiana ngoja niunge undugu

Ile mimba yake ulishajifungua?Nilimfanyaje kwani?
Hamna shangaziiMnataka kumfanya nini mwanangu?

Huo ujanja wako upelekewe kwenye mashamba ya miwaNtakufundisha ujanja

Jirani tunaanza taratibu,Utaniweza kweli jirani yangu?
Teh teh kunamahali nimepita nimeona mambo nisiyoyaelewaa.....nikapatwa na sintofaamuu.......Aunty unakosa adabu siku hizi eeeh!!! RRONDO sijawahi hata kumshika mkono atakuwaje mtalaka wangu? Huyo ni ex shemeji, mdogo wangu alimkimbia sababu ya ubahiri.
Mbn mnarukana vimangaaa nyieeeTalaka kwani ashakuwa mke wangu? Ana wivu na nyie damu changa!
Pacha unaniuziiiii sasaa umeanza umbea liniEti kuna jamaa anasema anataka kumfundisha ujanja, amesikia sungura huyo?!

Sema kama wakwako ndio nmeukaririHaahahh
Fuatilia mwandiko
Mwandiko wa mtu unagundulika kirahisi