Unajikubali wewe bonge la dem, kipaji unacho, mvuto na kila kitu yani 100% haijalishi uko single au uko na boyfriend, Mishen town au mke wa mtu, model ama kimbaumbau, umealikwa Escape 1 Jumapili hii ya tar 06 March 2016. HAKUNA KIINGILIO
NI SPECIAL SUPRIZE KUKUPA HAKIKA YA KUTIMIZA NDOTO YAKO...