Kuna mahali niliona unazungumzia Press Card na kwamba Dr. Abbas ndo anahusika na utoaji wa cards hizo, hivi utaratibu huwa umekaaje kupata press card?
Thanks in advance mkuu!
Kuna m
Pia NMB Clock Tower, Arusha pia meneja ni bora, utendaji wake na namna anavyokuhudumia huku akiwa na mishe nyingine anafanya bila kupoteza muda. Tunahitaji watu kama hawa… Simple and Smart!
Usikate tamaa rafiki, kwa elimu yako na taaluma ya umeme nikukumbushe tu upo sehemu nzuri sana kwa hakika..... Ni dhambi kuinyima nafsi yako haki ya kuishi. Ni kosa kiimani kuitishia amani nafsi yako. Wapo wasio ona wala kusikia na bado wanamshukuru mungu kwa zawadi ya uhai... Zingatia Baraka!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.