Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
NMB inafanya online transaction?
tbp nayo wanafanya online transaction?
tbp nayo wanafanya online transaction?
Hello Freelancer,NMB inafanya online transaction?
tbp nayo wanafanya online transaction?
Hajafikia wakati wa kumiliki account !Crdb ina wenyewe we endelea na VIKOBA
Kwaiyo mnazunguka mbuyu sio !?Hello Freelancer,
Huduma hiyo ipo kama kawaida, karibu tukuwezeshe uendelee kufaidi ulimwengu wa kibenki kupitia kiganjanni mwako.
Karibu sana
Hii bank kwa kweli ina huduma mbovu sana. Juzi juzi nimejaribu kufungua account pale, kwanza wana fomu nyingi na complications zisizoisha. Siku 3 nazungushwa tu, nikaenda NMB ndani ya nusu saa nimemaliza.
Na ukishafungua account na hawa CRDB bado kuna matatizo mengi sana unakumbana nayo na account yako na huwa wanakuwa hawana msaada sana. Nasema hayo kwa sababu tayari nina account nyingine pale na ni kama nimeikacha. Hata ukiwa pale tu utaona idadi kubwa ya wateja wao wanaokuja na kuondoka bila matatizo yao kutatuliwa.
Naona hii benki inaenda au inastahili kugawanywa kama NBC ya wakati ule iliyozaa NMB. Tunaambiwa tupende vya kwetu ila inaonyesha hadi aje mzungu ndiyo huwa tunakaa sawa na kutoa huduma zinazoeleweka.
Najua hili linaweza lisitokee kwenye utawala wa Magufuli kwa sababu sera na mitazamo yake ni tofauti sana na Mkapa ila hii benki inabidi imulikwe.
Na samahani kama kuna nitakayemkwaza ila kuna element ka ukabila pia kwenye ile benki. Naona kama wafanyakazi wengi katika matawi niliyowahi kwenda ni watu wa kutoka sehemu moja!! Sijui kama hilo litakauwa linachangia matatizo waliyonayo ila niliondoka nikijiuliza maswali mengi ambayo sijapata majibu. Kwanza inawezekana wanachukua fomu za watu ambao mwisho wa siku wanaamua kutoendelea na application au hata kufanya makusudi zangu wanaweza wakawa wanakatisha tamaa watu wenye account halafu wanatumia hizo account au information za watu kuchukulia mikopo bila wateja wenyewe kujua? Je hili linawezekana? Nimefikia kujiuliza maswali kama hayo kwa sababu ufanisi wao ni wa mashaka sana.
Nimemkubali sana, kapambana.Huyu mzungu wa NMB kaiboresha sana benki hiyo, kutoka kwenye benki iliyokuwa na huduma duni , foleni kutoka hapa na masaki, majengo mabovu lakini sas hivi hakuna foleni, majengo yameboreshwa ni ya kisasa kabisa na wanafanya open office systerm ambapo kuanzia meneja mpaka watendaji hawajajifungia mavyumbani wapo wazi wanaonekana jinsi wanavyo fanya kazi. Hakuna kutegea. Wamejiunga na VISA hivyo fedha unachukulia popote, wana ATM za kutosha na wanafungua matawi kila mahali, huku magari yao ya mobile bank yaizunguka vijijini. Bank zingine zikae chonjo
Pia NMB Clock Tower, Arusha pia meneja ni bora, utendaji wake na namna anavyokuhudumia huku akiwa na mishe nyingine anafanya bila kupoteza muda. Tunahitaji watu kama hawa… Simple and Smart!Mkuu mfikishieni salam huyo mkurugenzi
Pia napenda kutoa pongezi kwa tawi lenu la Mwanhuzi wilaya ya Meatu.
Kuna Jamaa pale ni bank Teller, mwembamba na mweupe sana.
Aisee, nina accounts benk 3, NMB, CRDB na Diamond Trust.
Lkn ktk bank zote na Branch nilizowahi pata huduma sijawahi pata customer care nzuri kama ya yule jamaa.
Kwanza jamaa anaioenda kazi yake, anasikiliza kila mtu.
Hachoki kukuhangaikia kutatua shida yako.
Kiukweli nilitokea kupenda utendaji kazi wake.
Jina lake silifahamu ila kila mwezi naonaga anashinda kuwa mfanyakazi bora.
Ni mweupe sana na mwembamba.
Salam zimfikiee.
Nataka nimfungulie mwanangu akaunt ya USD hapo barclays wanayo?Hamia barcalys huwezi kujuta
Hollandtawi lipi lina watoto wazuri nataka nikajimegee
Hii bank kwa kweli ina huduma mbovu sana. Juzi juzi nimejaribu kufungua account pale, kwanza wana fomu nyingi na complications zisizoisha. Siku 3 nazungushwa tu, nikaenda NMB ndani ya nusu saa nimemaliza.
Na ukishafungua account na hawa CRDB bado kuna matatizo mengi sana unakumbana nayo na account yako na huwa wanakuwa hawana msaada sana. Nasema hayo kwa sababu tayari nina account nyingine pale na ni kama nimeikacha. Hata ukiwa pale tu utaona idadi kubwa ya wateja wao wanaokuja na kuondoka bila matatizo yao kutatuliwa.
Naona hii benki inaenda au inastahili kugawanywa kama NBC ya wakati ule iliyozaa NMB. Tunaambiwa tupende vya kwetu ila inaonyesha hadi aje mzungu ndiyo huwa tunakaa sawa na kutoa huduma zinazoeleweka.
Najua hili linaweza lisitokee kwenye utawala wa Magufuli kwa sababu sera na mitazamo yake ni tofauti sana na Mkapa ila hii benki inabidi imulikwe.
Na samahani kama kuna nitakayemkwaza ila kuna element ka ukabila pia kwenye ile benki. Naona kama wafanyakazi wengi katika matawi niliyowahi kwenda ni watu wa kutoka sehemu moja!! Sijui kama hilo litakauwa linachangia matatizo waliyonayo ila niliondoka nikijiuliza maswali mengi ambayo sijapata majibu. Kwanza inawezekana wanachukua fomu za watu ambao mwisho wa siku wanaamua kutoendelea na application au hata kufanya makusudi zangu wanaweza wakawa wanakatisha tamaa watu wenye account halafu wanatumia hizo account au information za watu kuchukulia mikopo bila wateja wenyewe kujua? Je hili linawezekana? Nimefikia kujiuliza maswali kama hayo kwa sababu ufanisi wao ni wa mashaka sana.
Wakuu tuwe na busara kutaja majina au wajihi wa mtu siyo busara..Nimekuwa na mtazamo tofauti kidogo kuhusu watendaji na watoa huduma mbalimbali, baada ya kuanza kufanya biashara na kudeal na watu aisee kuna watu ni kero wanapotaka huduma..usipokuwa na uvumilivu unaweza pigana.. nashukuru somo la customer service limekuwa msaada mkubwa kudeal na hawa raia.. Point yangu tusiwalaumu tu pia tuangalue na mapungufu yetu..Kuna siku nilienda bank ya crdb tawi la buzuruga. Atm zilikua hazifanyi kazi, tulikaa pale kwa muda kama saa nzima. Kwa pembeni kwenye parking ya magari yao tuliona jamaa mmoja hivi mrefu mwembamba, sijui ndio manager au mfanyakazi wa kawaida. Tulimuiliza tatizo nini, tupo muda mrefu hapa atm hazitoi fedha?
Alitujibu kwa nyodo kubabake akaendelea kuongea kwa simu yake.