LLB UDSM vs LLB Tumaini Makumira

LLB UDSM vs LLB Tumaini Makumira

bwana mdogo kuna graduates wazuri sana wa mzumbe, makumira na kwingineko.

kuna graduates wazuri pia wa udsm

lakini kuna wabovu pia kutoka sehemu zote.

udsm??? what is udsm?
u wasn`t fair in your previous comment,u commented as if incompetent graduates are from UDSM only....be fair,kama ulikosa nafasi UDSM isikufanye kuwa negative kuhusu wao.....anyway sijui hata kwa nini tunalinganisha UDSM na hao wengine ....UDSM mshindani wake SUA kwa hapa nchini....hutaki meza moto
 
weweeeee hahaha kojoa kalale tu, utoto unakusumbua.

unadhani vyuo vikuu ni sawa na zile ligi zenu za kike za kiba na diamond?

hahahahaa

unasubiri jina la UDSM likubebe kwa mbeleko, tena kama mwanafunzi mwenyewe ndio wewe ICE MAN 3D mbona ni msiba.

Ushaanza, mi sio mwanafunzi wa LLB wala UDSM ila ukweli naujua

Halafu unanitusi sijaonesha ligi sehemu yoyote.

Nimekuona mjinga tu, unahangaika na chuki zako binafsi
Naona unaleta ligi za kishoga, sina hzo mimi. Peleka mashauzi yako mbele huko
tetea chuo chako hapo kwanini kiitwe bora siyo unabaki unapiga kelele tuu.
Idiocy is your talent
johnson meki
 
u wasn`t fair in your previous comment,u commented as if incompetent graduates are from UDSM only....be fair,kama ulikosa nafasi UDSM isikufanye kuwa negative kuhusu wao.....anyway sijui hata kwa nini tunalinganisha UDSM na hao wengine ....UDSM mshindani wake SUA kwa hapa nchini....hutaki meza moto
nimeze moto kwa ajili ya ulimbukeni wa peasants waliovamia jiji?

by the way hizo ligi zenu za kike are not my cup of tea.

i have been compelled by this madness that keeps going and coming back everytime.

nadhani ubora wa chuo unapaswa kupimwa katika basis ya graduate mmoja mmoja,

nimekupa mfano tu wa vilazer wachache kati ya wengi wa udsm niliokutana nao...

mahali popote pale lazima wapo the super na wabovu...

usijifiche kwenye mbeleko ya udsm wakati hata kuandika tu sentensi zenye nukta huwezi.

unafanya nini udsm wewee?
 
Ushaanza ushenzi, mi sio mwanafunzi wa LLB wala UDSM ila ukweli naujua

Halafu unanitusi sijaonesha ligi ya kike sehemu yoyote.

Nimekuona mjinga tu, unahangaika na chuki zako binafsi
Naona unaleta ligi za kishoga, sina hzo mimi. Peleka mashauzi yako mbele huko
tetea chuo chako hapo kwanini kiitwe bora siyo unabaki unapiga kelele tuu.
Idiocy is your talent
johnson meki
weweeee hebu lala ukue,

tuachie jukwaa watu wenye upeo.

rudi kwenye ligi za size yako za kina lulu na zari.
 
weweeee hebu lala ukue,

tuachie jukwaa watu wenye upeo.

rudi kwenye ligi za size yako za kina lulu na zari.
Huwezi mtu kama wewe kunifanya ni lale mimi
Hapa nipo na stoki.
LLB yako ya tuition hiyo ufananishe na UDSM!!
 
Huwezi mshenzi kama wewe kunifanya ni lale mimi
Hapa nipo na stoki.
LLB yako ya tuition hiyo ufananishe na UDSM!! Wee utakuwa unaumwa akili aki!
hahahahahahah

weweeeee, kojoa lala tu.

nisije nikakuvunja ubongo,

comments zangu wanazielewa watu wenye vichwa vizito sio wewe lightweight..

hahahaha

hili jukwaa huliwezi bwana mdogo, limekuzidi kimo.
 
nimeze moto kwa ajili ya ulimbukeni wa peasants waliovamia jiji?

by the way hizo ligi zenu za kike are not my cup of tea.

i have been compelled by this madness that keeps going and coming back everytime.

nadhani ubora wa chuo unapaswa kupimwa katika basis ya graduate mmoja mmoja,

nimekupa mfano tu wa vilazer wachache kati ya wengi wa udsm niliokutana nao...

mahali popote pale lazima wapo the super na wabovu...

usijifiche kwenye mbeleko ya udsm wakati hata kuandika tu sentensi zenye nukta huwezi.

unafanya nini udsm wewee?
he heee....mweee,UDSM wewe acha kabisa,unatufanya tupigwe ngumi huku mtaani.
 
tulia wewe.
Good, naona sasa hivi umeanza kujua na kuzingatia matumizi ya nukta na alama zingine za uandishi.

nimeshaku exclude kwenye case study ya jopo la vilazer waliojificha kwenye mbeleko ya "udsm"
 
u wasn`t fair in your previous comment,u commented as if incompetent graduates are from UDSM only....be fair,kama ulikosa nafasi UDSM isikufanye kuwa negative kuhusu wao.....anyway sijui hata kwa nini tunalinganisha UDSM na hao wengine ....UDSM mshindani wake SUA kwa hapa nchini....hutaki meza moto
eti YOU "WASNT" FAIR IN YOUR PREVIOUS COMMENT.

Ndio grammar za kijinga hivyo mnazofundishwa huko?
 
niliwahi kutembelea shule fulani nikakutana na vijamaa vinasoma education viko udsm..

vilikuwa viko field,

it was so gross seeing them bragging about , trying madly to make their english sound british...

vikawa vinajitutumua pale na vingereza uchwara vyao with a lot of intollerable grammatical errors...

asee nilistaajabu,
kwani kujua kiingereza ndio kipimo cha kuwa na knowledge kaka?....wakoloni bado watatutesa sana.
 
kwani kujua kiingereza ndio kipimo cha kuwa na knowledge kaka?....wakoloni bado watatutesa sana.
unaona ulivyo peasant.

huko vyuoni mnafundishwa kwa kisukuma?

if you cannot understand where and when to fix simple and common auxilliary verbs in your sentences, wewe ni zaidi ya kituko.

was / were / is / be / am ; ndio core za lugha ya kiingereza,

ndio maana nawaambia ninyi watu bwana, ni morons tu,

auxilliary verbs tumejifunza huko primary, tukarudia tena secondary na vyuoni pia.

kama hujui english utawezaje kujua yanayofundishwa, au mnakariri tu kama maroboti.
 
Chuo hakisomi, au kufanya kazi, anayesoma ni mtu, na anayefanya kazi ni mtu, watu wanaangalia uwezo binafsi na sio chuo ulichosoma. Mfano miaka ya nyuma LL.B University of DSM Cut-off point ilikua ni 5, below that unakwenda kwingine, ila sasa wanachukua mpaka 7 points. Hicho ni kiashiria kua ubora wa elimu pia watu umepungua. Vilaza wapo kila mahali hata Harvard. mwisho wa siku ni namna unavyofanikisha mambo yako katika maisha. Huku mtaani watu wanapima mafanikio yako na sio chuo ulichosoma. Ila mkiwa shuleni mambo ya ubora wa vyuo yanakuwepo. Unless you want to be an academician, chuo ulichosoma wala GPA uliyonayo hakina/haina maana yoyote in real life.
 
hakuna tofaut yoyote GPA tu ndio zinakubeba kwani ndio kipimo halisi cha uwezo wako mengine nj mbwembwe acheni kudanganya watu...
 
Back
Top Bottom