Nimekata tamaa. Sina kazi na sina rafiki

Watu wanaombea wawe dark to the society wewe unataka uwe exposed...

Zamani nilijua walemavu wote wataingia peponi kwa kusubiri kwao, mkuu usipo tubu ukafa wewe ni fi nnari yaani ni motoni...
 
Ukiyaangalia mateso, taabu na mahangaiko unayoyapitia leo kama laana huwezi kuitengeneza nuru yako ya kesho, badala yake hayo unayoyapitia yafanye kuwa changamoto ya kukupa nafas nzuri baadae na ukimtumainia Mungu bila kumnung'unikia, njia yako ni njema mno! Tena gud enough una ujuzi.
 
mkuu usikate tamaa kihivo ukizunguka saana utakuta wenye shida zaidi yako cha msingi ni kula bulimia na hizi changamoto tu
 
Kuna mtu kazi yake ni tuliuza maji Kwa bahati mbaya kapata ajali miguu imekatika. Vp kuhusu Huyu au nae ajiue.?
 
Usikate tamaa rafiki, kwa elimu yako na taaluma ya umeme nikukumbushe tu upo sehemu nzuri sana kwa hakika..... Ni dhambi kuinyima nafsi yako haki ya kuishi. Ni kosa kiimani kuitishia amani nafsi yako. Wapo wasio ona wala kusikia na bado wanamshukuru mungu kwa zawadi ya uhai... Zingatia Baraka!
 
asanteni sana wote kwakunipa matumaini kwa sasa natafuta kazi ya hii taaluma yangu ya ufundi umeme kwenye kampuni yoyote nipo teyari kufanya kazi katika mazingira yoyote mkoa wowote kwa mm napatikana dar na tanga
 
Baraka the current Poleee kaka Na mshukuru Mungu kwa kila jambo Maana kesho yako ni yeye tu aijuaye Kaka nimeacha kusikia Vizuri tangu nikiwa darasa la pili Nimesoma kwa shida sana wakati mwingine unapata adhabu kisa tu hujasikia darasani nimefika mpaka advance tena nimesoma science CBG Kwa changamoto hizihizi ulizo nazo Wewe Mpk Chuo!! Ulishawahi kufika shule ya msingi UHURU pale kunawatoto hawaoni Afu ni viziwi na Bado wanatabasamu tu!!! Mungu anakusudio nawewe
Nitafute 0769199375/0672723147 tuzungumze ndugu yangu!!!
Hata mimi mwenyewe deaf ila sijakata tamaa kihivyo Nina miaka 30 sijawahi kuwa Hata na mpenzi, japo najitegemea nafanya Biashara
 
We love you Man, Jf is a family.. usikate tamaa just remember in every dark night there is brighter day coming (2 PAC), don't lose hope keep your head up and face everything that comes in your way..
When you are going through hell, just keep going man, no reason to stop while you are in hell.. keep moving.

Anza na ulichonacho hapo.. shikashika chochote utapata Pakuanzia, then ukishapata shikilia na usiachie kirahisi

U have seen the worst why worry about tomorrow.. Mtangulize Mungu huku ukipambana Kama vile hakuskii
 
Mkuu umenigusa sana,naomba tuzungumze Pm coz nahitaji mtu kwa ajili ya kazi zangu hivi,mapungufu yako sio kikwazo kabisa......... Pole sana,being broke isn't an option
 
pole sana ila uko na Jamii forum's haupo mwenyewe ndo kila kitu Achana na mapenzi, Mwanaume unajiua vip kwanza naanzaje
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom