Recent content by fortie zechariah

  1. F

    Je, Naweza kuendesha Suzuki carry kutoka Dar mpaka Tunduma kilometa 900?

    Mshana jnr naomba unisaidie, nataka kujaza tairi za gari yangu "nitrogen", je, ina madhara yoyote! With thnxx bro!
  2. F

    Je, Anaitwaje?

    First Gentleman!
  3. F

    Hongera JWTZ

    I love JWTZ
  4. F

    Kenya bans Tanzania tour vans from game parks and airports again

    I positively support kingmairo's observation
  5. F

    Gazeti la The East African laomba radhi kwa Rais Kikwete, wakiri Katuni haikufaa kutumika

    Kwa kweli inasikitisha sana ndugu zangu kuona Rais wetu anachorwa na jirani zenu kivile, heri tungemchora siye. Wanyarwanda hawatupendi na hawatakaa watupende, kwani walichokuwa wakitafuta kwetu"ardhi" wamekikosa! Ndugu zangu hata kama kuna udhaifu kwa kiongozi wetu, tutamsema sisi na si...
  6. F

    Kwa anaye ifahamu kisiwani secondary-same!

    :fish2: Wana JF naomba msaada wenu tafadhali, mdogo wangu amechaguliwa kwenda KISIWANI SEC -SAME A-Level, kama kuna anayefahamu shule ilipo kule Same naomba anielekeze. Naomba pia kujua kama shule ina bweni au ni ya kutwa, kwani tovuti ya wizara haina "details" zozote kunisaidia. Natanguliza...
  7. F

    Leonardo Da-Vinci

    Hapana kaka, kwa hapa umechanganya kidogo! Ni kweli Leonardo Da Vinci ndiye mchoraji wa kwaza wa picha ya YESU na wanafunzi wake (the Last Supper), hata hivyo si yeye "Leonardo Da Vinci" aliyesema eti YESU alimwoa Mariamu Magdalene. Aliye sema hayo ni "Dan Brown" mwandishi "shoga" wa kimarekani...
  8. F

    Askari wetu wa kwanza kufa drc..tuwe wamoja.. M23 wameshindwa kabla ya kuanza

    "Analysis" yako inatia moyo sana! Nimejisikia raha na uzalendo kuisoma. Ni wakati wa waandishi wetu kukubali kubadilika. Uhuru wa kuandika chochote na mara nyingine kuyakashifu majeshi yetu na kusifia majeshi ya marekani na uingereza, unatokana na amani ambayo kwa sehemu kubwa imeimarishwa na...
  9. F

    Mbunge wa Ukonga upo likizo?

    Kweli wajinga ndo waliwao! Sijawahi ona mbunge kama wa ukonga kwa miaka 5 hivi! Hata Makongoro alikuwa hivyo hivyo! Huwezi amini wenzao wanavyopiga kelekele juu ya majimbo yao ya Dar, huyu mama utadhani hayupo! Lakini hii ndo zawadi ya ujinga wetu wanaukonga!!!! Mvua zikinyesha barabara za...
  10. F

    Mtoto aliyekataliwa na baba yake

    Kwanza Mungu akubariki sana kwa roho yako ya utu. Huyo mtoto hata asingekuwa wa bro, bado ulichofanya ni thawabu kubwa san mbele za MUNGU. Huwezi jua atakuwa nani kesho, na huwezi jua nani atalea wanao yatakapo kufika. Lakini zaidi kwa kufanya hivyo unafungua milango ya baraka, kwani huyo mtoto...
Back
Top Bottom