Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,988
Nimekuelewa kamanda,ombi moja kimbunga cha M4C Ukonga vipi hakiwapitii magamba,hebu nahuku kazi ianze mapema.
Wazo la msingi sana hili. Nafikiri Mwita Maranya ataweza kuunganisha nguvu na uongozi wa CDM Ukonga ili mikakati ianze.
Wakuu kimbunga cha M4C kinakuja hivi karibuni, tuko katika hatua za kupanga mikakati ya utekelezaji mara baada ya uzinduzi wa kanda ya Pwani. Nina uhakika kati ya mwezi huu wa tano hadi kufikia mwezi september Ukonga itakuwa imetembelewa na M4C kwa nguvu sana. Mipango iliyopo ni kuhakikisha kuwa mitaa yote ya jimbo la Ukonga inafikiwa katika kipindi hicho cha kuanzia mwezi wa tano hadi wa tisa.
Kwahiyo nawaomba mkae tayari wakati wowote zoezi hilo litakapotangazwa rasmi tutawajulisha wananchi wote wakazi wa Ukonga kwa ajili ya kushirikiana.
Last edited by a moderator: