Ka mkubwa hujui rap acha nikupe sample/
Unatupa maneno kama unakaa dampo/
Napiga mbishe nyingi sina habari ya madem/
Na kama unataka mpunga just speak my name/
Underground legendary sina umaarufu kwa game/
Tukutane cemetary kwa jina la marehem/
Sometimes kelele nyingi hudhihirisha upunguani/...
Back again form1 kwenye ubora/
Ukileta mdundo bunduki nashusha verse kombora/
Kichwa race kama mkuki ndukinduki za dondora/
wanasema nachapa sana kwavile ndani ya boxer nna bakora/
form1
Mkuu ni hivi lot size ni kama kipimo ambacho hutumika kukujulisha ni uwingi kiasi gani wa pesa unauza au unanua sokoni kwakua kule sokoni huwezi uziwa dola 1 au pound 1 and so on
Mfano ukienda sokoni kununua dagaa huwezi kuuziwa dagaa mmoja utauziwa kwa fungu au kilo kulingana na uwezo wako...
Mkuu usibishe usivovijua na usiamini sana wikipedia maana mtu yoyote anaweza kuedit.
Kwakifupi ni hivi mimi babu yangu alinihadithia alipokua anauza duka la muhindi k.koo sikumbuki miaka ya 60 au 70 bakhresa alikua fundi viatu fremu/duka linalofuatia.
form1
Me nimeshika msemo mmoja wa instructor riya anasema kua "kuanzia sasa weekend zenu hazitakua tena bored maana mtakua mna pesa za kutumia kwenye hizo weekend coz stress mara nyingi huja kwa kukosekana pesa"
May Almighty bless you TMT.
form1
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hard rock ilikua very disorganised walitoka zenj hawajatimia wakaja huku home kuongezea wachezaji(nna ushahidi) kwahiyo hao simba walicheza na timu ya kuokotana okotana tu.
form1
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ilikua njia yangu ile maana nkipita pale nlikua najiona kama celeb flani juu ya redcarpet nkitazama kulia skirt kushoto skirt basi hapo nadunda kama nimemeza kitenesi
form1
Hehehe na hao masela wako wangekua ndo wanamuamkia huyo manzi basi usingeshindwa kumuamkia ukaitikia mwenyewe and i bet ulikua umekaa pale kwenye mapultable mengi mashine3
form1
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.