Wakuu nahitaji simu yenye hali nzuri, offer yangu ni laki 3 za kitanzania.
Naomba isiwe tekno (nilishazichoka hizi).
1. Storage kuanzia 16 GB,
2. Camera iwe nzuri,
3. ikiwa na finger print ni added advantage,
4. betri capacity kuanzia 3,000mAh
5. Iwe double line (dual sim)
Kama unayo njoo tuzungumze, kama huna simu povu PM.
Niko Korogwe.
______________________________
______________________________
UPDATES
Wakuu naomba ukisema una simu flani basi jitahidi uweke na specifications zake, sasa unapotaja aina ya simu peke yake mi bado sielewi maana sio kwamba nitakariri kila simu, nipunguzie kazi ya kuingia google, weka sifa zake za msingi kama battery,storage, Ram, ukubwa n.k