JF Hip-hop frestyle battle

Hii kitu napenda sana. Nakumbuka enzi hizo UDOM kulikuwa na free style battle kila ijumaa block 4 humanities. Ni nomaa sana
Boooooooooooo
 
I'm the denominator, no need to rationalize,
So sick flaws game naiterrorize,
I preach harmony dont compare me with harmonize,
Natembea chitchat celebs mpaka na tech,
I'm the realest real y'all copiers fake,
Nawaskip kama malou, drink kama valeur,
Bado niko legendary kama Solomon kalou.
Daaaah kitambo aisee
 
I feel so brand new ni ka nimezaliwa mda huu,

Am a champion f never try to overlook,

Nikaja kwa thread nikamurder sasa hivi mazishi,

Mcs wote wepesi wanatamani wawe mimi waishi,

Naendelea kukaza kamba muuhfucka sibadilishi,

Ujutie ujinga wako wa kuniquote ibilisi.
 
Nawakimbiza kwa puch line hamuwezi nigeza,
mi mkali kila biti naipoteza,
Long time nawacheki tu mnavyocheza,
Hebu nipe kipaza madogo niwachakaze,
Naipenda hii battle kabla sijaja Jf,
Mamc wengi bado wadogo level zao ni F,
Mi nawatawanya ka ffu
 
Back again form1 kwenye ubora/
Ukileta mdundo bunduki nashusha verse kombora/
Kichwa race kama mkuki ndukinduki za dondora/
wanasema nachapa sana kwavile ndani ya boxer nna bakora/

form1
Dogo umekukuruka naona umerudi tena,

Master nimekita mizizi kwa mistari ninayotema,

Utoto na komedi nyingi za kusifia bakora,

What man hiyo ndo italipa bills? Castr I hustle hard nawazia a mansion on a hill,

Amka toka kwenye ujinga uliojaza kichwa,

Jitahidi make money umarioo unakondesha,
 
Dogo umekukuruka naona umerudi tena,

Master nimekita mizizi kwa mistari ninayotema,

Utoto na komedi nyingi za kusifia bakora,

What man hiyo ndo italipa bills? Castr I hustle hard nawazia a mansion on a hill,

Amka toka kwenye ujinga uliojaza kichwa,

Jitahidi make money umarioo unakondesha,
Ka mkubwa hujui rap acha nikupe sample/
Unatupa maneno kama unakaa dampo/
Napiga mbishe nyingi sina habari ya madem/
Na kama unataka mpunga just speak my name/
Underground legendary sina umaarufu kwa game/
Tukutane cemetary kwa jina la marehem/
Sometimes kelele nyingi hudhihirisha upunguani/
Kukaa kimya ni bora ufiche ujinga uliokichwani/
Najua moyoni unajuta kuuvagaa mziki huu/
Coz hili gheto la mabasha na ushatimba sister du/

form1
 
Refarii kagwaya, ona
Nawachezea nusu uwanja/

Mna pumzi ya kaya, wagumu
Mmelegea nawapiga kwanja/

Kwa hizi flow hatuendi sawa,
Rungu nishatoa natawanya chawa/

Ugonjwa nisoo na dawa, cster duu
Ukinigusa mikono nawa/

Tenzi nagawa bila pawa,
Wasonijua mi ndio Adam wa Hawa/

Nawatawanya mkae sawa,
Panua miguu mwiko mguu sawa/
 
Ka mkubwa hujui rap acha nikupe sample/
Unatupa maneno kama unakaa dampo/
Napiga mbishe nyingi sina habari ya madem/
Na kama unataka mpunga just speak my name/
Underground legendary sina umaarufu kwa game/
Tukutane cemetary kwa jina la marehem/
Sometimes kelele nyingi hudhihirisha upunguani/
Kukaa kimya ni bora ufiche ujinga uliokichwani/
Najua moyoni unajuta kuuvagaa mziki huu/
Coz hili gheto la mabasha na ushatimba sister du/

form1
Basha uko form1 subiri bakora ya mkubwa wako,

umeuvagaa moto shit nyingi hebu kaza matako,

Zingua uzinguaji mwingi maliza unipe papa wa Gigy,

Bado mdogo sana halafu umeivagaa ligi,

Iq ndogo mwaka wa mia bado upo form one,

Mjini shule akili kubwa njoo na nguvu ulime lami,

Mjinga we ni kenge uliyeangukia mto wami, haupo pamoja nami umefata bwana mamba,

Chanua miguu piga msamba nimekuja na mikasi nataka kukukata kamba
 
Mwana umeniquote notification mwendo wa kinyonga,

Nimechelewa kufika boy nimekukuta unabonga,

Chimbo unachimba nini mistari makinikia,

Mpaka uundiwe tume ndiyo wana tutakusikia,

Punch zako feki weupe wa Ray ukasome,

Nakuchapa na mistari tata mpaka kuniquote ukome

Naspit Og...
kama color ya mmasai..../

Wajinga ndio mdata...
nikivaa suti en tai..../

Siku hizi mpaka feki...
ndo mnadai mko really..../

Mc nyalinyali....
yani kama mtoto pili.../

Unachapa kwa mistari...
nakuchapa kwa bazoka..../

Kufika hizi levo....
Castr boy ndo unaoota.../

Nakuingiza chaka....
wananiita Dokta Shika..../

Hili jukwaa halikufai....
kashiriki super nyota..../



@Nifico.
 
Naspit Og...
kama color ya mmasai..../

Wajinga ndio mdata...
nikivaa suti en tai..../

Siku hizi mpaka feki...
ndo mnadai mko really..../

Mc nyalinyali....
yani kama mtoto pili.../

Unachapa kwa mistari...
nakuchapa kwa bazoka..../

Kufika hizi levo....
Castr boy ndo unaoota.../

Nakuingiza chaka....
wananiita Dokta Shika..../

Hili jukwaa halikufai....
kashiriki super nyota..../



@Nifico.
Spit shit mistari shombo dogo umeingia kingi,

Unatia huruma kazi huwezi hunishindi kwa lyrics,

Nimetibua mjengo uwezo mwingi kuruta haunitishi,

Uwezo kontena na mistari mitamu kwa kichwa,

We kinyago changu mwenyewe hauwezi kunitisha,

Mapimbi hamna swaga mmechafukwa utumbo mmebaki kuharisha...
 
I wish,I could be IGP, ni msemo Wa Magufuli.
Ma MC mko wapi, mbona siioni mistari.
Mistari yenyewe makapi, na mingine si kiswahili.
Leteni mistari iliyotukuka, na inayoelezea uwazi.
Msiwe kama dokta Shika, mia tisa itapendeza zaidi.
Mnatakiwa kuserereka, ili mtupe burudani.
Ndio kwanza mnaweweseka, kama mpo usingizini.
Binafsi sijaridhika, naomba mtupe madini.
 
Usimlaumu aliyekuumba,mlaumu aliyekulea/

Alyekufanya uuze mitumba,ndo misingi aliyokuwekea/

Et wakali ndo hujiita simba,kwenye kundi la mbwea/

Unaweza kua na jina ka kanumba,Mara paapu ukapotea/

Ni bora wakufanye msukule,kuliko kukatwa ring/

Masharo wapenda vya bure,ndo wanaongoza kufumuliwa spring/

Hakika mjin Shule,darasa liliojaaa mapimbi/

Ndo kisa cha Mr sulle,kufail na kurudi sitimbi/

Usiforce tufanane,coz we are not da same twins/

Living in da same room,haimaanishi ugongee jeans/

Nachora rhymes kwa code,ka Leonard da Vince/

Wanga umkaunde bodi,vikao mwende gambushi/
 
You want a freestyle battle
You wanna flee like cattle
I see you better Kwaito
While I MC from here to Chato
I bomb like NATO
Like TRA, kato
I charge Kodi ya Mapato
Take you to school, uno, dos, tres, cuatro
And if you still don't understand I'll give another recital
You can't test me I'm big shark youre just a Sato
Try to contest me, I take away all your titles
I'm vital, you bomb out,Tidal
I give you a mental depression til you need Zital
You need insurance like GEICO before I take you out psycho.
 
I wish,I could be IGP, ni msemo Wa Magufuli.
Ma MC mko wapi, mbona siioni mistari.
Mistari yenyewe makapi, na mingine si kiswahili.
Leteni mistari iliyotukuka, na inayoelezea uwazi.
Msiwe kama dokta Shika, mia tisa itapendeza zaidi.
Mnatakiwa kuserereka, ili mtupe burudani.
Ndio kwanza mnaweweseka, kama mpo usingizini.
Binafsi sijaridhika, naomba mtupe madini.
Isome hii mistari yenye hadhi ya utatu/

Kilaza kichwa panzi unaweza kutoka fyatu/

Mbwa hata abweke vip hawez dinda kwa chatu/

Nawatega kwa khanga moko ka Malaya wa Karatu/

Kazi na dawa nikikaza wanapagawa/

Pole nakaya Mr politician kaota mbawa/

Nimewashikaa pabaya/

The gas ndo yule monster rapper nisiyefukuzwa na moshi wa kaya/

Hata waje kundi ka kwaya na bado ntakua choir master/

Nawahukumu kwa kila haya,na verse ya kila chapter/
 
Back
Top Bottom