Kweli nimeamini Afrika haitawahi kuwa salama..aliyefatilia chaguzi za kenya 2007 hataona tofauti na yanayotendeka TZ, raisi anatayarisha kushinda uchaguzi kupitia mahakamani ikiwa goli la mkono litatimia na team UKAWA kwenda mahakamani kupinga uchaguzi...amani kwanza waTZ sisi wakenya...
Mimi najua umeme haupotei kwa kijiji chetu na iwapo kutakuwa na marekebisho ya power lines basi hufanywa usiku wa manane ili usiharibu mipangilio ya biashara za watu mchana..mimi naona shida TZ ni kutowajibika kwa wizara ya nishati
Inamaana watanzania wataenda miaka kumi mingine ya kunyanyaswa,ufisadi na uongozi mbaya..nashangaa hiki chama mwakipendea nini.hiki chama hakina mapya wala mfumo badala wa kuukuza uchumi wenu. mukichagua CCM basi muisahau katiba mpya.
jifunzeni kupitia mageuzi ya kenya yaliyoambatana na...
Hamna nchi inayoweza kustawi bila kushirikiana na nchi nyingine..tatizo lipo kwa watanzania wenyewe munapotia mikataba ya kibiashara pamoja na ufisadi..lalamikia serikali yako ya CCM nakufanya marekebisho oct 25,bila hivyo utaendelea kutuchukia wakenya na sisi tutabaki kupaa
Heri umeona huu ukweli ila bado macho ya wengi wa watanzania wenzako wamepotoshwa kwa propaganda za dola kupitia kwa vyombo vya habari kufikia kiasi cha kuona kila kitu kipo shwari..CCM inawatumia divide and rule kwa watanzania ila watanzania wengi hawajielewi,hawajui haki zao na wale kidogo...
Kama ulikuwa ushampa mchezo akaucheza hadi matunda yakaanguka toka mtini basi jua ameshachoka nawewe,,,hivi sasa yupo na kitu kipya anakila polepole akichoka naye atampiga chini akurudie wewe..pia ww kaa kimya wala usijishulishe
Watanzania muko radhi kuliwa mali yenu na mzungu ila mkenya akisogelea mnapiga kelele kweli..sasa ni wapi duniani shule ya serikali ikauziwa mtu binafsi
Zungusha bakuli kwa jirani uombe usaidizi wa kula wewe..ikiwa huna hela za matumizi acha kusingizia bank za watu..kisha ujue kuna cheki ambazo hutolewa baada ya muda fulani kutimia ndipo zitakubalika
Hii game ya LOWASSA(CHADEMA) vs MAGUFULI(CCM) itakuwa contest of a century kama tu pacquao vs mayweather.
lakini pesa na maarifa ndiyo yataongea baadaye siyo wananchi..hii game itakuwa kali na huenda CCM wakacheza rafu zaidi kukizuia kiti..hasa mambo haya ya BVR hayaaminiki kamwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.