Amebadilika sana, nikimuuliza anasema yupo bize

Amebadilika sana, nikimuuliza anasema yupo bize

Asanteni mliochangia wote nimewaelewa nitajitathmini na kujitafakari kwanza mimi,,,

BE BLESSED!
 
piga chini huo mzigo bibie.....maboyz wenyereal love wapo kbaooooooo....lyk ME
 
Lol Ana mwingine huyo hiyo ni kawaida ya wanaume best..kipya kinyemi. Unaweza ukaumwa wala asijali..hata kukujulia Hali hata text unaendeleaje. Kumbe kapata kimwana mpyaaa. We muombe Mungu km wako atakuwa. Hili swali muulize Mungu.
 
Habarini!

Naomba mnisaidie kwa hili jambo,nina boyfriend namheshimu nakumpenda sana nae ananipenda sana.Tatizo linaloniumiza kichwa huyu mwenzangu kama wiki mbili / tatu ivi amechange sana.

Hapigi simu, wala hatext msg ni mpaka nianze mimi si ivo tu hata mambo mengine tunaweza kujadili yakaishia hapohapo na hata nikitaka jinsi ya kuanza kumshauri namna ya kuweka maandalizi ya familia na mengineyo nakosa the way to start talking acording to his silent.

Na endapo nikikausha kama wiki ivi nae anakuwa kimya kupitiliza, usiku ataiona msg yangu kama ni usiku sana ataizima simu yake mpaka kesho yake saa sita/tano asubuhi napo hajibu mpaka nimtext papo hapo, nikimuuliza kwanini mambo yanachange sana anadai yupo busy na akiwa free ndo anajipumzisha yani anakuwa amechoka sana.

Nikiomba tuonane yaani hapo ndo haitabiriki/ uwezekano mdogo sana wa kuonana it means hatuwezi onana,ifahamike tupo mikoa tofauti kumiss kupo kwingi sana even face to face, sasa sijielewi jamani nianze kushuka taratibu nijitoe au tu nifanyaje maana naogopa kukuza mapenzi yakomae alafu nikaachwe hapo baadae.

Mbaya zaidi nimetoka kwa watu wawili wa nyuma nao waliniumiza sana adi sasa hivi nakuwa mguu mmoja nje mwingine ndani kwa kuogopa kujeruhiwa nisaidieni kwani nimefikia maamuzi magumu ya kuishi single life mpaka pale parapanda itapolia, ushauri wako utaniweka pazuri.

Asanteni

Jichunguze vizur huenda ukawa una rambooooo
 
Huna chako mkuu,pole sana
 
Attachments

  • 1439480744552.jpg
    1439480744552.jpg
    23.2 KB · Views: 134
bongo hakuna kupendana ila nakushauri nenda uphilipino
 
Ana mwingine huyo huna chako hapo.Tulia muombe sana Mungu akupe akupendaye kikweli.Japo mapenzi yanauma kata mawasiliano tafuta kitu cha kufanya kikufanye uwe busy.
 
Ukiona manyoya!!keshachukuliwa huyo jipange upya,hauko akilini kwake ndio mana hakukumbuki
 
Habarini!

Naomba mnisaidie kwa hili jambo,nina boyfriend namheshimu nakumpenda sana nae ananipenda sana.Tatizo linaloniumiza kichwa huyu mwenzangu kama wiki mbili / tatu ivi amechange sana.

Hapigi simu, wala hatext msg ni mpaka nianze mimi si ivo tu hata mambo mengine tunaweza kujadili yakaishia hapohapo na hata nikitaka jinsi ya kuanza kumshauri namna ya kuweka maandalizi ya familia na mengineyo nakosa the way to start talking acording to his silent.

Na endapo nikikausha kama wiki ivi nae anakuwa kimya kupitiliza, usiku ataiona msg yangu kama ni usiku sana ataizima simu yake mpaka kesho yake saa sita/tano asubuhi napo hajibu mpaka nimtext papo hapo, nikimuuliza kwanini mambo yanachange sana anadai yupo busy na akiwa free ndo anajipumzisha yani anakuwa amechoka sana.

Nikiomba tuonane yaani hapo ndo haitabiriki/ uwezekano mdogo sana wa kuonana it means hatuwezi onana,ifahamike tupo mikoa tofauti kumiss kupo kwingi sana even face to face, sasa sijielewi jamani nianze kushuka taratibu nijitoe au tu nifanyaje maana naogopa kukuza mapenzi yakomae alafu nikaachwe hapo baadae.

Mbaya zaidi nimetoka kwa watu wawili wa nyuma nao waliniumiza sana adi sasa hivi nakuwa mguu mmoja nje mwingine ndani kwa kuogopa kujeruhiwa nisaidieni kwani nimefikia maamuzi magumu ya kuishi single life mpaka pale parapanda itapolia, ushauri wako utaniweka pazuri.

Asanteni

Muulize kama amepima ukimwi maana inawezekana majibu sio mazuri na anaelekea kuchanganyikiwa
 
Ndio maana nakupenda rafiki. Unaanzaje kuisemea nafsi nyingine? "Nampenda sana..."...."na yeye ananipenda sana"...mmmh!!

may be kuna njia wanyotumia kujua......wakuje watuambie wenzao
 
Kama ulikuwa ushampa mchezo akaucheza hadi matunda yakaanguka toka mtini basi jua ameshachoka nawewe,,,hivi sasa yupo na kitu kipya anakila polepole akichoka naye atampiga chini akurudie wewe..pia ww kaa kimya wala usijishulishe
 
Habari ya shake well and test b4 use kwangu mwiko......... na hayo marambo mi hayanihusu

Unamaana bado hujamjua mwanaume mpaka sasa?
Kama kweli fanya mpango twende PM!
Natangaza nia rasmi!
 
Pole mamiii,inaelekea jamaaa ameshakuchoka so kama vipi we tafuta ustaarabu mwengine tu,jaribu kukubaliana na matokeo mamiiiii
 
Ukiona jamaa anazidi kukuletea mapicha picha usiwire kunicheki kwa ushauri zaidi.
 
Back
Top Bottom