Equity Bank Arusha imefilisika, BOT ingia kati mapema

Equity Bank Arusha imefilisika, BOT ingia kati mapema

Status
Not open for further replies.
Arusha ni branch Dar ndio head office ya TZ Equity Bank subsidiary. Kama mtaalamu wa masuala ya kibenki, branch haiwezi kufilisika, angalia vizuri labda account yako haina hela au ina tatizo lingine
Bora ataa kama ni teler wa hiyo bank .ungemshtua mkuu wako hapo makao makuu .atolee ufafanuzi kwa sababu ni wateja wote awajapata pesa siku ya 14 leo.mimi niko kwenye group ya watu 40 wenye cheque total worth 232 milioni .hii sio ishuu ya acount hii .
 
Ndugu morenja nadhani unachanganya mambo.Leo nimetoka Equity nimechukua 1,700,000/= bila shida yoyote.Equity ni moja ya bank zinazofanya vizuri katika soko.Mtandao kwenda down hiyo ni biashara nyingine kabisa hasa ukizingatia umeme ni tatizo sasa Arusha sijui mkoa mingine.
Arusha au dar .mimi nakwambia sasa mimi nisiku ya kumi na nne naenda na cheque narudi na wala ataa sio hela nyingi ni milioni 11 tuu.
 
Last edited by a moderator:
Arusha au dar .mimi nakwambia sasa mimi nisiku ya kumi na nne naenda na cheque narudi na wala ataa sio hela nyingi ni milioni 11 tuu.

Holder wa hiyo cheque ni wewe?perhaps huyo mtu aliekuandikia ndio hana hela kwenye account yake.
 
huyu jamaa ni mzushi aisee....nimetoka leo asubuhi hapo kudroo pesa za kutosha kabisa....
Wewe ndio mzushi njoo asubuhi kesho tukutane hapo .mimi nateseka siku 14 na cheque tena hela yenyewe kidogo tuu milioni 11 .bank gani hii .maisha yangu sikuwahi ata kufikiri unaweza kucheleweshwa kulipwa pesa kwa kiasi hiki.

Tena usiniambie ni bank kubwa hii .maana wangekuwa wastaarabu wangetulipa hata transport au wangechukua namba zetu wakatupigia .watakapo kuwa tayari kuliko walivyotufanyia nenda rudi.isitoshe tuna acount hapo..
 
Holder wa hiyo cheque ni wewe?perhaps huyo mtu aliekuandikia ndio hana hela kwenye account yake.

Ndio mimi mwenyewe ndio acount yangu .nakuna hela zaidi ya hiyo nayo chukua. Hawana ustaarabu mpaka wamefanya nionekane kama mtapeli kwa watu wangu tunaofanya nao biashara. Fikiria unaahidi mtu nakupa hela kesho, unaenda unaambiwa kesho. Jamaa yako unapls unamwambia kesho, tena kesho mpaka siku 14 bado tuu hajakuona wa ajabu?
 
Ikiwa mbaya hivo, unaenda nae jamaa mpaka bank.
 
Bora ataa kama ni teler wa hiyo bank .ungemshtua mkuu wako hapo makao makuu .atolee ufafanuzi kwa sababu ni wateja wote awajapata pesa siku ya 14 leo.mimi niko kwenye group ya watu 40 wenye cheque total worth 232 milioni .hii sio ishuu ya acount hii .

Bora umesema hivyo kwa sasa bank nyingi hawako vizuri kihela...ni vizuri ukachukua cash japo risk ni kubwa..maana kuna bank zingine unakuta wana pending ya kulipa kama bilion 10 so wanaenda taratibu saana hasa kwenye upande wa kutuma TIS na kulipa cheque zenye amount kubwa kama yako

My take.cash unapata bila shida..ila tis na cheque with huge amount lazima ile kwako utakuwa unalipwa kidogo kidogo sana.
 
Ndugu morenja nadhani unachanganya mambo.Leo nimetoka Equity nimechukua 1,700,000/= bila shida yoyote.Equity ni moja ya bank zinazofanya vizuri katika soko.Mtandao kwenda down hiyo ni biashara nyingine kabisa hasa ukizingatia umeme ni tatizo sasa Arusha sijui mkoa mingine.

Huduma za hii benki unazionaje kulinganisha na za kibongo?
 
Last edited by a moderator:
Mimi nashangaa haka kabenki kamekuja juzi kanataka kushindana na wakina exim na crdb , unaweza kuta wanadanganya kwenye balance sheet zao tuwaone wanakua , Mkenya siku zote anatakiwa aangaliwe na jicho la tatu hapa kwetu.

What if kamekuja kuhujumu uchumi wa Tanzania?
 
Mkuu morenja ni wazi tatizo lako halina uhusiano na kufilisika Equity Bank.

1. Labda aliyekuandika cheque hana fedha kwenye account yake.

2. Cheque as per BOT directive amount ilitakiwa isizidi 10 million kama ni bank tofauti na Equity i.e CRDB au NMB ilitakiwa iandikwe 10 million na cheque nyingine 1 million.

Arusha au dar .mimi nakwambia sasa mimi nisiku ya kumi na nne naenda na cheque narudi na wala ataa sio hela nyingi ni milioni 11 tuu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu morenja ni wazi tatizo lako halina uhusiano na kufilisika Equity Bank.

1. Labda aliyekuandika cheque hana fedha kwenye account yake.

2. Cheque as per BOT directive amount ilitakiwa isizidi 10 million kama ni bank tofauti na Equity i.e CRDB au NMB ilitakiwa iandikwe 10 million na cheque nyingine 1 million.

Hahaha,jamaa huyu atakuwa ametumwa na Kibank kimoja chenye usshindani na hawa Equity Bank ili kuharibu.
Ila ajue mshahara wa Dhambi ni mauti na Mshahara wa JF ni kuumbuka kama chhupi ya changudoa.

Tatizo mleta mada alishindwa kuwauliza hao washindani waliomtuma kuzushia hii Bank ili wampe data za kutosha,sasa ameingia choo sicho.
Sometimes Moderators kama kuna issue za uongo basi mngekuwa mnafuta uzi ili kuondoa jina la bank kuahirbia na kuzushiwa,ni athari kubwa sana kwa taasis kuzushiwa kitu kisicho kweli.
Yaani habari ukiisoma ni full uongo,we wiki mbili 11m,halafu kwa masaifa eti pesa ndogo tu hiyo.
 
Akunaga cheki ya 11,000,000 cheki mwisho milioni 10,000,000

Kama unatoa kwenye akaunti yako hundi haina kikomo cha kiasi ila kama unamlipa MTU na an agenda kuideposit kwenye bank tofauti na bank yako basi mwisho ndio million kumi na kwa hundi za serikali toka akaunti zilizopo bank kuu hundi zake hazina kikomo cha kiasi
 
Zungusha bakuli kwa jirani uombe usaidizi wa kula wewe..ikiwa huna hela za matumizi acha kusingizia bank za watu..kisha ujue kuna cheki ambazo hutolewa baada ya muda fulani kutimia ndipo zitakubalika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom