Hatimaye ngoma sasa ni Lowassa vs Magufuli

Lowassa kama Yesu... anapendwa jamaniii..omg...!!!
 
Huyo Lowassa si ni hivi majuzi tu aliapa kutoachana na CCM? Ni vipi tena? Yaani huu urais atautafuta kwa udi na uvumba, hata kama ni kwa kulisaliti chama kilichomjenga kisiasa na kuungana na kile ambacho kimekuwa kikimtuhumu yeye kwa ufisadi!

Huyu Lowassa hana jipya kabisa ya kuwapa watanzania, manake nafkiri sera zake hazitatofautiana kabisa na zile za CCM, chama ambacho alikuwa akihudumia hadi hivi majuzi.

Tanzania, hili linasikitisha sana ya kwamba hamna alternative nyingine kabisa. Either ni Magufuli au Magufuli ndiye atakaye kuwa rais.

Huyo anapiga ngoma anacheza Na maboya yake ila urais hapati
 
H
Huyo Lowassa si ni hivi majuzi tu aliapa kutoachana na CCM? Ni vipi tena? Yaani huu urais atautafuta kwa udi na uvumba, hata kama ni kwa kulisaliti chama kilichomjenga kisiasa na kuungana na kile ambacho kimekuwa kikimtuhumu yeye kwa ufisadi!

Huyu Lowassa hana jipya kabisa ya kuwapa watanzania, manake nafkiri sera zake hazitatofautiana kabisa na zile za CCM, chama ambacho alikuwa akihudumia hadi hivi majuzi.

Tanzania, hili linasikitisha sana ya kwamba hamna alternative nyingine kabisa. Either ni Magufuli au Magufuli ndiye atakaye kuwa rais.

Hakuna anayeweza kuchukua nchi kwa lelemama? Hata JK alikatwa mara ya kwanza na baadae akaomba tena! Sasa kuna shida gani nae Edo akigombea urais? au uroho wa madaraka ni kwa edo tu? Mbona husemi Ndugai hadi kauwa huko !!
 
Iconoclastes Siasa ni unafiki na uchafu, hamna jipya, hawa UKAWA walimponda sana Lowassa akiwa CCM, wakamhusisha sana na ufisadi, sasa kwa yeye kuvuka na kuhamia kwao, wamemgeuza kuwa mweupe kama pamba. Huu upuzi upo hadi hata hapa kwetu, sasa hivi akina Wetangula na Kalonzo ndio malaika na nikikumbuka jinsi walivyokuwa wanapondwa na upinzani kipindi kile wakiwa kwenye serikali.

Hata Obama ameongea kuhusu hili, walivyomzuia kuingilia mambo ya Kenya halafu sasa wapo kwenye upinzani na wanamgeukia na kumwomba.
MK mazee, hao watu waliahaibishwa mno mbele ya umma, na hilo ilinifurahisha mno.
Nakumbuka jinsi ma-hardliners wale kama bi. Martha K. na Moses Weta. walivyokuwa wakizizomea nchi za magharibi kutoingilia siasa za Kenya nyakati zile hao walikuwa madarakani. Ati sasa ni hawa hawa wanaoziomba nchi hizo hizo kudhibiti mienendo ya walio uongozini Kenya kwa sasa, na kuhakikisha ''utawala mwema'' umedumishwa Kenya.

Kinaya!!!
 
Last edited by a moderator:
Kama raila alivoahindwa na magufuli wake na pia magufuli atashindwa na raila wake.
 
MK mazee, hao watu waliahaibishwa mno mbele ya umma, na hilo ilinifurahisha mno.
Nakumbuka jinsi ma-hardliners wale kama bi. Martha K. na Moses Weta. walivyokuwa wakizizomea nchi za magharibi kutoingilia siasa za Kenya nyakati zile hao walikuwa madarakani. Ati sasa ni hawa hawa wanaoziomba nchi hizo hizo kudhibiti mienendo ya walio uongozini Kenya kwa sasa, na kuhakikisha ''utawala mwema'' umedumishwa Kenya.

Kinaya!!!

Waliumbuliwa na media zote, yaani kila mmoja video yake ilionyeshwa akiwa madarakani wakati anafoka dhidi ya Marekani. Wanasiasa aisei ni noma.
 
Ndota ya kweli hii hapa:
Baada ya uchaguzi oct'2015 matokeo halisi haya hapa:
Lowasa 64%
Magufuli 31%
Believe me guys!
 
Hii game ya LOWASSA(CHADEMA) vs MAGUFULI(CCM) itakuwa contest of a century kama tu pacquao vs mayweather.
lakini pesa na maarifa ndiyo yataongea baadaye siyo wananchi..hii game itakuwa kali na huenda CCM wakacheza rafu zaidi kukizuia kiti..hasa mambo haya ya BVR hayaaminiki kamwe
 
Contest of a century really? I think the CCM has the wider edge by far over the oppotision parties.
I predict an easy lead for them come October.

If the opposition parties chose to form an alliance to face CCM, I guess they wouldnt even manage to notch up more than the 40% of the votes cast. The CCM will scoop the bigger portion.

I feel that the CCM is still the most widely supported party in the country.
 
punguza kushobokea mashetani CCM
 
Back
Top Bottom