Recent content by flintsky

  1. flintsky

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ningeomba Hii iwafikie Woote...

    yule mzee wa kwenye sani alikuwa anaitwa nani vile?!yule akikuta unaharibu lugha anakuchapa
  2. flintsky

    JamiiForums Tanzania Ndio muone wazungu walivyo wabaguzi.....

    sio ubaguzi kiukweli sisi waafrika tumelaaniwa tu hilo liko wazi kabisa!sisi hatuwezi kustaarabika kabisa!black hata azaliwe ulaya haachi asili yake
  3. flintsky

    JamiiForums Tanzania Sikiliza Voice of America Usiku Huu... Suala la JF Kujadiliwa

    kwani malaika watajali?!eti wanajichafua mbele ya uso wa kimataifa?!sina hakika
  4. flintsky

    JamiiForums Tanzania CCM na serikali yake msitufanye Watanzania wajinga,

    acha tuitumie jf yetu kimwishoo!maana kumechafukwa huku!sasa hivi malaika anaizima maana ameshika swichi
  5. flintsky

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hata kama tunajivua kupotea kwa Ben, hili la Mashinji kugawa vyeti msituni linazua maswali

    chadema mrudisheni ben janja yenu kwisha julikana
  6. flintsky

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye ukaguzi wa Polisi katika Ofisi za JamiiForums na Nyumbani kwa Mkurugenzi, Maxence

    kuna watu wanataka ifikie mahali hata mawazo yako binafsi kichwani usiwawazizie kuwakosoa!tunaelekea korea kwa kim jun
  7. flintsky

    JamiiForums Tanzania World most famous people with their QUOTES from their great SPEECHES

    rather die like a man than live like a coward
  8. flintsky

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Bed is Everything...

    uanze kumvua,umshushe kidaka,umlazmishe alale kama ugomvi vile,uinue mguu,akwepeshe mdomo,akutoe mkono usishike hapo mwisho abane hata miguu.afu ukitoka hapo eti nitumie 40000 ya lesiwigi
  9. flintsky

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Brothas,11 hilarious reasons to break-up with her!

    zote mfuniko afu ukikomaaa kweli uhusiano kwishney
  10. flintsky

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Nimekoswakoswa kulizwa na mabinti wa mitandaoni

    mie kuna dada nilikutana nae safarini tena alionekana wa maana anaejua dini sana.alinipatia namba yake tukawa tunachat sana ananipigia wkt mwingine tulifanya sex kwa simu na mara nyingi yeye alinipigia nakiri huyu dada alikuwa wa kipekee sana alionyesha akili yake imepevuka ilifikia kuniambia...
  11. flintsky

    JamiiForums Tanzania Woga wa viongozi wa Africa

    naogopa nisijekupotea nyumbani bure!ngoja niseme tu huku nimejificha sehemu,ni kweli bro dadi uliyosema!kesho msiponiona msinitafute
  12. flintsky

    JamiiForums Tanzania Hatimae Ommy Dimpoz aweka picha akiwa na mpenziwe Instagram

    hivi jamani kwani mtu akipiga picha na trekta ni lake?!
  13. flintsky

    JamiiForums Tanzania Hatimae Ommy Dimpoz aweka picha akiwa na mpenziwe Instagram

    mshika pembe tu huyo!
  14. flintsky

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu ya sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa MUNGU

    kweli hatutakuja kuchomwa moto sawa!we fikiria maisha ya dunia yakupige ile mbaya afu mwisho siku ukachomwe jiko moja na billgeti au dangote!si taandamana asee
  15. flintsky

    JamiiForums Tanzania Katuni gani kwenye gazeti umeimisi sana?

    mzee wa rivasi bwana na maprosoo unacheka hadi 32 nje yote meno! maprosoo anaenda ulaya kuoga afu kesho anarudi
Back
Top Bottom