Character is everything asee... Kama ni hivyo makahaba wangeongoza kuolewa.. Na wangefurahia mapenzi zaidi Kuliko Wengine..Wadada punguzeni uvivu kitandani...Mapenzi
yamekuwa ya ushindani sana kama Simba na
Yanga...Ukipoteza mechi mpinzani atakaa kileleni
kuongoza Ligi.
Tabia za kulala kama unasubiri Sakramenti
haitakupa chochote...Jitume kutetea uhalali wako wa kuwa Mpenzi wa huyo mtu...Mapenzi hayana
kupiga ramli,Manage your bed, vingine ni
Secondary.Mnaoamini Mapenzi hayalindwi na Sex
nawapa pole, Mta-Supp mtihani kabla hamjaanza
testi...Bed is everything!
Kiwanda ndo unakuja kufikiria huku...sisi tunafikiria kuanzisha viwanda nyinyi mnawaza ngono. alaaaaah..!
Karibu kiti mgeni wangu..Hivyo visivyo tolewa ni vipi ? Mimi ni mgeni kidogo
Yes..nitatoa ushirikiano 'cause raha na mimi ninazitaka.Ngoja kwanza......, we toa ushirikiano wa kutosha, toa hiyo mambo vizuri then na mie nifumue invyotakiwa hadi utamani kuimwagia maji ya baridi kwa nn tuje achana mama..? Love infact a love affair kind of is a two way traffic thing. Nipe, nikupe
HahahahahaaaaaaKiwanda ndo unakuja kufikiria huku...
Ebu pita Iv.. Hujawahi hata kuwa na Kampuni ya kusambaza karanga ndo ujitie mawazo ya kiwanda..
Haya jenga uzalishe sis tutakuwa wateja...
Asante kwa ukarimu japo namuogopa mpwa EliKaribu kiti mgeni wangu..
Sio mchoyo...Asante kwa ukarimu japo namuogopa mpwa Eli
Ugeni wangu una agenda zingine una uhakika atafutahi kweli ?Sio mchoyo...
Anapenda sana wageni mpwa wangu yule..
Atafurahi sana kukuona.
Mahaba ni kujituma, ukiwa na mwanamke wa namna hiyo mapungufu yake ya kitandani utayaona ni makamilifu yanayotibika tu na mwishowe utayazoea! Kumbuka ngono ni kitendo cha masaa au dk kadhaa, katika masaa 24 ya usiku na mchana kitandani tunakutana kwa masaa hayazidi 8 (kwa wengi wetu tunalala saa 4 usiku na kuamka saa 12 asubuhi) na kwenye masaa hayo nane 8 tuna kwichi kwichi kwa dk 20 tu kwaiyo usijidanganye na usiwadanganye wenzio
Umeongea ukweli stunter tatizo lenu unaweza jituma weeh na kutoka nje mnatoka hamna jema nyie viumbe
UTAJA UFE MASKINI RAFIKI YANGU....FANYA KAZI UPATE CHAPAA...ISHU ZA BED FANYAA EXTRA.....WE ARE OVER MONEYWadada punguzeni uvivu kitandani...Mapenzi
yamekuwa ya ushindani sana kama Simba na
Yanga...Ukipoteza mechi mpinzani atakaa kileleni
kuongoza Ligi.
Tabia za kulala kama unasubiri Sakramenti
haitakupa chochote...Jitume kutetea uhalali wako wa kuwa Mpenzi wa huyo mtu...Mapenzi hayana
kupiga ramli,Manage your bed, vingine ni
Secondary.Mnaoamini Mapenzi hayalindwi na Sex
nawapa pole, Mta-Supp mtihani kabla hamjaanza
testi...Bed is everything!
Uonevu wa nini? Aliyekwambia ndoa au mahusiano ya kudumu ni kukata nyonga kama feni atakua kakudanganyaKHA!!!??? KUA SERIOUS DADA YANGU!!
si uonevu huu!!??????
utoe na visivyotolewa na kuchwa uachwe..
Sasa uvivu wa ke na ukosefu wa nguvu za Me inaingilianaje?Mtoa Mada Umegonga Mle Mle. Wengi Wenye Jinsia Ya Ke Ni Wavivu.
Ndiyo Maana Mnalalamika Kuwa Me Hawana Nguvu Lkn Kumbe Chanzo Ni Uvivu Wenu.
Mwanamke aweza kuwa Fundi wakitandani lakini asiwe mwema! Ni lazima utatoka nje ukatafute wa kukupa huo wemaShunie wacha uongo...
Hakuna mwanaume anayeonyeshwa ufundi uliotukuka alafu akatamani kwingine, cuz anakuwa hana anachomiss so lazima atulie tu....