Kwa madini yaliyopo ardhini na kuamua kuyaacha kwanza kwa ajili ya watanzania wote wapate ufahamu.... Kwa ile katiba iliyokuwa inampa mamlaka makubwa.... Hii familia ingekuwa tajiri sana kama ilivyo ya wenzetu wa kenya, ila ilimpasa kutoa familia sadaka ili kuokoa watanzania walio wengi ingawaje...
The fear of unknown ndio inawatisha watu... Ila mimi kukaa sehemu kwa miaka mitatu haiwezekani labda iwe kwenye jiji.
Mawazo hayapanuki, marafiki wale wale. Changamoto zile zile mpaka utazeeka kabla ya wakati.
ukibisha kuwekewa na ukizingatia wana umiliki mkubwa....itakuwa hupandi ndege/treni zao,hupati huduma za hosp,hotel,shule,benki,madukani,N.K.
Afu tuone mtaishi vipi ikizingatia serikali yako ndio nayo itakuwa wakala mkuu
hongera kwa kumkuta mkeo bikra...
hongera nae kukukuta bikra...ila kumbuka maisha na mahusiano hawapangi binadamu...unapenda na kupanga ila mwenyezi Mungu anapangua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.