Fisadi Nyangumi
Senior Member
- May 5, 2015
- 123
- 26
atulie tu na kuacha sifa za kutaka kuonekana ka mtoto mdogo.
Asante mzee kilicho fanyika Kila mtanzania anakijua MWENYEZI MUNGU! .akupe maisha. marefu mzee wangu mamvi
kabla hujaandika jambo jaribu kufikiria kwanza... LOWASA alishakuwa waziri mkuu wa hii nchi.. level yake sio hiyo unayoiwaza wewe popoma wa bongo muvi
Mkwere akiona hii naye atapiga picha akipalilia mananasi.Hongera baba lowasa sio yule mwenzio aliahidi kwenda kulima mananasi lakini ni yeye na kupanda ndege kama samaki na maji
Rais wenu mwenyewe anajua hakushinda sasa hivi vilamba makalio ndo vimebaki kupiga domo tu!
Ngoja aumwe na nyoka huko porini ndio atajua madhara ya usanii. Mchungaji gani wa ng'ombe anayevaa shati la Versace, suruali toka duka la Harrods na viatu vya kiitaliano akiwa mbugani?
Huo ni wivu wa kukosa. Hakuna nguo maalumu kwa mchungaji kuvaa wala viatu. usiishi kwa kukariri, hii ni karne ya 21 kwenda ya 22.Ngoja aumwe na nyoka huko porini ndio atajua madhara ya usanii. Mchungaji gani wa ng'ombe anayevaa shati la Versace, suruali toka duka la Harrods na viatu vya kiitaliano akiwa mbugani?
jamani hamkuwa mnajua lengo lake ninini? !? lengo kuu lilikuwa ni kuua ajenda ya ifisadi ili kuishi kwa amani na starehe. leo mani ataongelea ufisadi. si utatonesha vidonda watu waanze kukumbukia
Huo ni wivu wa kukosa. Hakuna nguo maalumu kwa mchungaji kuvaa wala viatu. usiishi kwa kukariri, hii ni karne ya 21 kwenda ya 22.
Mungu ni mwema kampeleka kwenye fani yake
Anachunga au anawahesabu..
Ngoja aumwe na nyoka huko porini ndio atajua madhara ya usanii. Mchungaji gani wa ng'ombe anayevaa shati la Versace, suruali toka duka la Harrods na viatu vya kiitaliano akiwa mbugani?