Habarini wadau.
Nahitaji kushonesha suti za Harusi, nipo Dar kwa yeyote anayemjua Fundi mzuri aniwekee namba zake hapa tafadhali. Please aliye na reasonable price. Thanks
kwani umejipangaje???, heria ngoi suti ni USD 1,500 (millioni tatu na usheei, upo hapo!)