Recent content by Fino da Final

  1. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katoka Tanga kaja Mwanza bila taarifa

    Daa ndo ushaoa mkuu shida yke ndo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katoka Tanga kaja Mwanza bila taarifa

    We unataka atoe we ulivyokua unaweka vigolol je pambana na hali yko ndo ushaoa hivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  3. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Da niliimis hi hali ya kufungwa
  4. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Baada ya game kuisha uliza chelsea kashinda ngap
  5. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Up blues wanafiki bana et chelsea kafungwa ngap haya kafungwa mbili kwa nne
  6. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    3 bila mkuu
  7. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Usiulize nan kashinda uliza CHELSEA kashinda ngapi
  8. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga

    Ilizikata wap mbna taarifa haijanyooka
  9. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

    Nikikuta watoto wametune tbc wanaweza kuwekwa bakora
  10. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwamuzi aliyechezesha mpira kati ya Simba na JKT Ruvu ni vema afungiwe

    We hata mpira huangaliaga wa majuu nn keeper aliclear mpira then akaanguka ulitegemea mwamuz apulize kipenga kwan alichezewa rafu? Et kipa hakua golini ulitegemea mwamuzvamwambie amka nenda golin ukazuie ama? Acha uyanga ndugu tembea na fact za mpira na sio ushabiki tuu
  11. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hi chelsea siku hizi wananfanya niwe na aman mjin hapa Huyu costa nae toka aache utoto ni burudan tuu
  12. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pambano la Cheka limeanza muda huu

    Masumbwi yalienda na mwenye nayo
  13. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa app nzuri ya kuroot sumsung galaxy s3

    Sante mkuu
  14. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa app nzuri ya kuroot sumsung galaxy s3

    Wana jamii forum naomba msaada wa app nzuri ya kuroot simu yangu pamoja na hatua za kufuata. Simu ni samsung galaxy s3
  15. F

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Papa "kuruhusu talaka" kwa ndoa za kanisa katoliki

    Mkuu nawe una utaalamu wa sheria za kanisa na kama waumin wa kiafrika hawafundishwi sheria za kanisa kuna matin inayotolewa na kanisa watu waisome? Binafsi nataka kuzijua hizo sheria
Back
Top Bottom