Katoka Tanga kaja Mwanza bila taarifa

Katoka Tanga kaja Mwanza bila taarifa

Kwanza nasikitika sana na jambo uliloliweka humu, ni bora tu mkuu ungetulia maana taifa letu linapitia wakati mgum sana kwenye kulea watoto waliokulia mazingira magumu!
Ni bora ungesubiri huyo mwanake ajifungue then uchukue mtoto wako ili uachane nae kiroho safi kuliko ku dampo mtoto ambae hana hatia kwenye ulimwengu wa mateso.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa uamzi usiozngatia tja, nakubali but kwann nae amevunja agano la yeye kupewa mimba tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii story yako kuna baadhi ya scine umeruka nini?
Yaani umekutana na mtu mtandaoni ukapika kavu mpaka mimba?

Haya Pambana na Hali yako mkuu lakini kumbuka kuwa kuna watu wanatafuta watoto hawapati mpaka sasa.
Huyu alihitaji kivimbe tu, so akapewa then kabadilik na kuhitaj kuolewa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom